demokrasia

  1. Shaka Hamdu Shaka: Tanzania haiko kwenye mapambano ya demokrasia

    SHAKA HAMDU SHAKA: TANZANIA HAIKO KWENYE MAPAMBANO YA DEMOKRASIA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi. Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demokrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka mfumo wa chama kimoja na...
  2. S

    Shaka: Tanzania ni nchi iliyojengwa katika misingi ya demokrasia

    Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demomrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka chama kimoja na kuingia vyama vingi yamefanyika kwa ridhaa na kwa mujibu wa sheria kinyume na madai yaliyotolewa na katibu mkuu wa chadema John Mnyika...
  3. Demokrasia: Mbowe na Lipumba washauriwe wapishe na ziingie fikra mpya kwenye Siasa za Vyama vingi

    Friends and Enemies, Muda unakimbia Sana,mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na kuanza kwa uchaguz wa kwanza wa vyama vingi 1995,unaweza dhan kama ni majuz tuh,lakin ni miaka zaid ya ya miaka 26 hizi sura z hawa wanaojiita wapigania demokrasia ndan ya nchi hii hazijawahi kubadilika...
  4. N

    Mbowe anaenda kubadilisha historia ya Tanzania

    Huyu bhana pamoja na kuzaliwa kipindi cha uhuru lakini dalili zinaonesha anaenda kukuza uhuru wa kufurahia demokrasia hapa nchini. Ninatamani sana kesi yake ingurume ili tuone matendo ya kigaidi aliyoyafanya ili nilinganishe na ya Ole Sabaya na ya Mnyeti halafu ikiwezekana afungwe kabisa si...
  5. R

    SoC01 Demokrasia kama Msingi wa Maendeleo

    DEMOKRASIA KAMA MSINGI WA MAENDELEO Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kwa mujibu wa Katiba ambayo viongozi wetu huitumia kuapa wanapoingia madarakani. Ibara 8(1) ya Katiba yetu inasema “Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya kidemokrasia na haki ya kijamii na kwahiyo;(a)...
  6. Ushauri wangu wa bure tu kwa Wanaharakati na Wapenda Siasa na Demokrasia za 'hovyo hovyo' Barani Afrika

    Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako. Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa siishi huko ) nyingi zimejaa tu Chuki, Unafiki, Fitina na ukicheza vibaya tegemea Kutekwa au...
  7. M

    SoC01 Mitandao ya kijamii kichocheo kipya cha Demokrasia

    Kwenye dunia ambayo demokrasia imeshuka sana katika asilimia 70 ya nchi 167 zilizofanyiwa utafiti duniani, kwa mujibu wa The Economist Intelligence’s Unit Democracy Index 2020 tangu kushuka huko kuanze kuonekana mwaka 2006, tunategemea sana mitandao ya kijamii kuhuisha demokrasia kwa sababu ni...
  8. M

    Demokrasia ya Magharibi inasaidia Afrika ama inaibomoa Afrika?

    Nchi za kiafrika zinatakiwa kutafuta njia nyingine ya kisiasa. Demokrasia ya nchi za magharibi haifanyi kazi Africa nzima. Ni vurugu tupu. Africa inahitaji viongozi bora, kama Kagame ama Hayati Magufuli kuipeleka Tanzania mbele. Wao wenyewe hawakuweza kujenga uchumi wawo. Wabeligiji...
  9. M

    Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

    Hao ni CNN Na hao ni Aljazeera
  10. SoC01 Simulizi: Misingi ya Demokrasia

    "Ni hatari mno kuukabidhi uongozi wa kitu nyeti kama nchi mikononi mwa mtu mwenye uchu, ujivuni na ubinafsi unaoweza kumfanya aamini yeye anapaswa kuwa juu ya kila kitu bila kujali misingi na taratibu tulizojiwekea. Kwani hili ni taifa linalopaswa kuongozwa kwa misingi ya DEMOKRASIA". Kwa! Kwa...
  11. S

    Uongozi Bora na Uwajibikaji wa Kidemokrasia

    UONGOZI BORA NA UWAJIBIKAJI WA KIDEMOKRASIA Kwa maana ya jumla, demokrasia ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja...
  12. S

    Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
  13. M

    Wananchi wanategemea Demokrasia iwapatie maisha bora

    Wananchi wanaunga mkono demokrasia si kwa sababu ni kitu muhimu kwa chenyewe, bali pia wanatarajia demokrasia iwapatie maisha bora ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Hili lilionekana wazi sana wakati wa maandamano ya mapinduzi nchi za Uarabuni mwaka 2011, pale watu wengi walipomwagika mitaani na...
  14. Demokrasia haiwafai watu aina ya Mdude Nyagali

    DEMOKRASIA HAIWAFAI WATU AINA YA MDUDE CHADEMA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Mwaka juzi niliandika makala moja iliyokuwa ikimuonya na kumrekebisha Mwanaharakati na mwana chama wa Chadema, Ndugu Mdude Chadema kuwa ukosoaji wake haufai kwani anatumia lugha chafu zilizochanganyika na matusi...
  15. K

    Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Bila shaka majibu yatapatikana hapa, Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China? Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja...
  16. Demokrasia: Mwanya wa Kwanza wa Rais Samia

    Demokrasia kungojea uchumi ni kosa la karne kutamkwa na kinywa cha mheshimiwa Mama. Ni mshituko mkubwa kwa wapenda demokrasia mchini na Duniani kote. Kwa muonekano wa sura iliyojawa na busara Tele ya mama yetu kipenzi, hakuna aliyetarajia kusikia alololitamka juu ya Katiba na mikutano ya...
  17. CCM kuwalegezea CHADEMA ili ionekane tuna misingi ya Demokrasia ni kukengeuka

    Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni CHADEMA. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo. Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu. Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti...
  18. Wanaosema Rais Samia mpaka 2030 wanajua maana ya demokrasia? Je, somo la Awamu ya Tano halikueleweka?

    Wakuu wameanza tena, Wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya Tano walianza hivihivi, wakamtia kibri JPM wakakufuru na mwisho laana ikawa juu yao. Ameanza Kigwangala, jana tukamsikia tena...
  19. Kwanini Rais Samia amesema hataki mabango, Je hii ndiyo demokrasia?

    Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao? Mabango ni haki ya wananchi kueleza...
  20. Ilichofanya TAMISEMI ndio demokrasia ya kweli kwa sasa, Shukran Ummi Mwalimu na mama Samia

    Dah!! Haya mambo tumeyazoea kuona kwenye nchi kama Marekani, Uingereza n.k Kitendo alichofanya huyu dogo Josephat kama ungekuwa utawala wa mwendazake sasa ungekuta wazazi wanamtafuta huyu kijana. Kwanza angepotezwa kwa kuidhalilisha serikali bila kusikilizwa hoja zake,angepigwa na kuvunjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…