demokrasia

  1. Pre GE2025 Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia

    Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia Wahusika Wakuu 1.Amani Chawote- Mgombea urais wa chama cha Demokrasia kwa Kila Mtu (DKM) 2.Salama Mwita - Mgombea urais wa chama cha Umoja wa Wazalendo (UW) 3.Juma Kiboko - Mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa 4.Nadia Juma...
  2. S

    SoC04 Ili kukuza demokrasia ya Tanzania nakuchochea mabadiliko ndani ya miaka5-25 ijayo

    1.Utangulizi Tanzania ni nchi inayo ongozwa na demokrasia.Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo mamlaka kuu ya serikali imewekwa Kwa watu. Mfano wa demokrasia,serikali yetu huchaguliwa na wananchi,hapa wananchi huwapigia kura viongozi wao wa serikali. MALENGO YA DEMOKRASIA. 1.Maadili ya uhuru...
  3. C

    Mageuzi ya Kisiasa 2030

    Siasa ya Tanzania imekua katika mdidimio mkubwa kuanzia 2020 na sababu kubwa ni kutokuwa na Demokrasia ya kweli, wakati wananchi wakitaka mabadiliko na mfumo mzima wa uendeshahi nchi wanasiasa wa upinzani wamegeuka na kuwa wasaliti kwa wananchi na kurudi upande wa chama tawala. Wananchi...
  4. J

    Mchungaji Msigwa wa CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari leo saa 5:00 asubuhi

    Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa Unyaluni 😄🔥 Ahsanteni.
  5. Pre GE2025 Kwanini mwenezi CCM, Makalla na Katibu Mkuu Nchimbi wamepooza sana kuelekea uchaguzi mkuu ujao?

    Hawa viongozi toka wameanza ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa kigezo cha faragha na kisayansi kwa kweli wamefeli pakubwa sana. Wametatua kero ngapi mpaka sasa, hakuna ushuhuda wa mafanikio ya ziara yao. Tutegemee kubumbwa kwa takwimu za mafanikio...
  6. Pre GE2025 Kukuza demokrasia ndani ya CCM, kila mwanachama ashiriki kuamua kwenye kura za maoni

    Anaandika Mo Mlimwengu. Kwanza nitoe pongezi kwa Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kuanzia kwa Mwenyekiti , watendaji wa chama pamoja na wanachama wote. Uimara wenu ndio unasababisha hadi leo hii CCM kinabaki kuwa chama tawala tangu tupate uhuru. Tumeishashuhudia vyama vingi kwa Afrika ambavyo...
  7. R

    SoC04 Kuboresha demokrasia huru na haki katika siasa

    III Tanzania yetu kufikia nchi ya ahadi inahitaji kuimarika katika ngazi ya demokrasia huru na kupunguza vitendo vinavyochochea ubaguzi wa kisiasa katika nyanja mbalimbali kama vile; 1. Uchaguzi kuwa wa haki na kweli Viongozi wanaopatikana kwa Uchaguzi wanatakiwa kuwa wale walochaguliwa na...
  8. A

    KERO Demokrasia, Rushwa na ushiriki wa chama cha siasa kwenye serikali ya wanafunzi - kuna shida Mzumbe!

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE, Ndaki Kuu (Morogoro). Nalalamikia namna ambavyo serikali ya wanafunzi, ambayo kwa mujibu wa sheria za Nchi - universities Act, Mzumbe Charter na Katiba ya Serikali ya wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe haviruhusu Shughuli ama kufungamana na vyama vya...
  9. K

    Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA Njombe wadaiwa kuvurugika

    CHADEMA wanaojiita watenda haki Leo uchaguzi wavurugika Njombe washindwa kufikia mwafaka kupata viongozi wanaowataka. --- Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ufanyike leo Mjini Njombe umevurugika tena baada kufuatia baadhi ya wanachama wa chama hicho kudai...
  10. M

    Eric Garcetti: Ni jambo la kufurahisha kuona Demokrasia kubwa zaidi duniani ikifanya kupitia uchaguzi wa India

    Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI): Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo. Akiwa mwangalizi kwa...
  11. SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  12. Pre GE2025 Mwenyekiti CCM Taifa naomba uruhusu kuchapisha fomu nyingi za kugombea Urais ndani ya chama kukuza Demokrasia

    Nitofautiane na makada wenzangu kwenye swala Zima la desturi kuifanya sheria ndani ya chama! Hatuna Cha kuogopa Wala kupoteza kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea mpya hapo 2025, ninaamini katika kudra za mwenyezimungu kuhusu hatma Yako ya urais wa 2025 -2030 kuliko kulazimisha kama...
  13. Pre GE2025 Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

    Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi. Dickson Lucas Matata Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya Uwenyekiti Kanda ya Magharibi. Uchaguzi katika Kanda hiyo utakaofanyika tarehe 29 Mei, 2024 na...
  14. L

    SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    Tanzania tuitakayo ni nchi inayoongoza katika demokrasia na utawala bora barani Afrika. Ni nchi ambayo kila raia ana sauti katika kuchagua viongozi wake na kuamua mustakabali wa taifa lake. Ili kufikia Tanzania hii tuitakayo, tunahitaji kuboresha mfumo wetu wa uchaguzi kwa kutumia teknolojia ya...
  15. Pre GE2025 Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa juu ya Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea Chaguzi za 2024/2025 (siku ya pili)

    Leo ni Siku ya pili ambapo TCD inawakutanisha wadau katika Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025. Mkutano huu ulianza jana Mei 8 na unamalizika leo...
  16. Pre GE2025 Makalla: Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Walimualika wenyewe kwenye baraza la wanawake kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia na mzalendo

    "Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la...
  17. F

    Tunakaribisha tofauti za hoja na maoni kuhusu chama chetu CHADEMA kwani hii ni fursa kubwa ya chama kukua na uthibitisho wa demokrasia komavu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
  18. Waziri wa Mambo ya Ndani: Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia wakati wa Uchaguzi Mkuu 2024 na 2025

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema katika uchaguzi ujao ukiwemo wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia ili kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa Huru na Haki huku Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura akisema wako tayari...
  19. Jaji Warioba: “Vyombo vya habari visaidie kuimarisha demokrasia”

    VYOMBO vya habari vina dhima na jukumu la kusaidia katika kuimarisha demokrasia hususan katika kuelimisha umma masuala ya uchaguzi ili waweze kushiriki kwa ukamilifu katika uchaguzi na kuimarisha demokrasia ya ushiriki wa wananchi kwa ukamilifu. Akizungumza katika kongamano la wadau wa habari...
  20. K

    Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…