demokrasia

  1. Mhafidhina07

    Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  2. P

    Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
  3. Mhafidhina07

    Nchi za Afrika zimeipokea Demokrasia kwa hofu ya kuogopa kuumizwa kiuchumi na kisiasa. Demokrasia ni silaha ya kikoloni

    AFRO Centric view Ni mtazamo wa kupinga unyonyaji, ukatili na uharibifu wa tamaduni za kiafrika ambapo umetolewa na wanazuoni wengi akiwemo Water Rodney, Prof Lumumba na Mandela. Kimsingi hakuna jambo jema katika dunia kama kuitunza tamaduni, ikiwa hutafanikiwa kuilinda tamaduni yako maana...
  4. K

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
  5. The Sheriff

    Ubalozi wa Marekani: Mauaji ya Ali Kibao na vitendo vingine vya kikatili havipaswi kupewa nafasi katika demokrasia

    Marekani inaungana na wale wanaotoa wito wa uchunguzi huru, wa uwazi, na wa haraka kuhusu utekaji unaoendelea na mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Mauaji na kupotea kwa watu, pamoja na kukamatwa, kupigwa, na juhudi nyingine za kuwaengua raia katika uchaguzi zilizotokea mwezi uliopita, havipaswi kuwa...
  6. N

    Zitto: Mataifa ya Afrika yasiyozingatia masuala ya Demokrasia na Haki za Binadamu yanakimbilia zaidi China

    Mwanasiasa na Mchumi, Zitto Kabwe amesema kuwa Mataifa ya Kiafrika ambayo hayazingatii misingi ya kidemokrasia katika utawala ujifungamanisha zaidi na China kwa kuwa Taifa hilo halina utamaduni wa kuhoji juu ya masuala mbalimbali yanayofungamana na haki za binadamu. "China wanavyosaidia Nchi...
  7. Mindyou

    Donald Trump: We hata kama hunipendi, nipigie tu kura

    Uwanja wa siasa nchini Marekani umezidi kuchangamka na hii ni baada ya mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, hivi karibuni kusema kuwa hata kama humpendi yeye kama yeye ni muhimu sana kumpigia kura. Trump aliyasema hayo kwenye jimbo la Pennsylvania huko nchini Marekani akiwa kwenye...
  8. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Siasa za chuki, kutokuaminiana na kutokuelewana kwa wapinzani nchini ni kwa faida ya nani kwenye ustawi wa Demokrasia ya Vyama vingi nchini?

    Kinachoendelea baina ya upinzani wao kwa wao, humu nchini ni cha kusikitisha na kinakatisha Tamaa san wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa mno. Kitaalamu ni hujuma miongoni mwao. Ni aibu sana.. Sawa, hawana nia, mipango, uelekeo, wala uewezo wa kushika dollar na kuunda Serikali, basi walau...
  9. PendoLyimo

    "Viongozi wa Juu wa CHADEMA Watoa Maoni Mseto Kuhusu Uongozi wa Rais Samia na Hatua za Kuimarisha Demokrasia Nchini"

    Freeman Mbowe:Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, amepongeza baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hasa katika kufungua anga la kisiasa na kuruhusu mazungumzo ya kitaifa. Mbowe ameonyesha matumaini kwamba Rais Samia anachukua hatua sahihi katika kurejesha uhuru wa...
  10. R

    CCM na demokrasia: Tangu uhuru Incumbent Mwenyekiti wa Chama hajawahi shindanishwa

    Mara ya mwisho CCM kumshindanisha Mwenyekiti na waombaji wengine ilikuwa 1954. ...by Tundu Lisu! johnthebaptist naomba maoni yako!
  11. G

    Demokrasia ya Marekani na unafiki katika mataifa mengine

    Marekani ni taifa ambalo mara nyingi linaonekana kama mfano wa demokrasia kwa mataifa mengine duniani. Hata hivyo, kuna muktadha wa kipekee ambao unahitaji kuangaliwa kwa karibu: wakati nchi hii inapojisifu kwa kuimarisha demokrasia na haki za binadamu, hali ya ndani ya nchi hiyo siyo kila...
  12. GENTAMYCINE

    Kwanini Marais wa Tanzania kila kukitokea Jambo lisilo jema, la mjadala na la kuichafua Demokrasia ya nchi huamua Kulifunika kwa Teuzi za ghafla?

    Nitashukuru sana kama Machawa Wao Gegedu wakija hapa kutuelimisha Sisi tusio na uelewa wowote. Angalizo. Nimesema Marais wa Tanzania na si lazima awe wa sasa au wale waliopita. Imeisha hiyo......!!
  13. Nyankurungu2020

    Pre GE2025 Ushauri toka kwa mpenda Demokrasia: Mmerejesha ngome yenu ya Nyasa. Pambaneni kanda ya ziwa 2025 mtafanya makubwa

    Kabla ya uchaguzi wa 2015 mlikuwa na nguvu sana mikoa ya Mwanza, Mara na Geita. Mlishinda chaguzi na kupata mafiwani, wenyeviti wa vijiji , vitongoji na hata Wenyeviti wa serikali za majiji. Kanda ya Nyasa mmerejesha imani yenu kwa wananchi. Sasa komaeni na Kanda ya Ziwa. Hata kama Diallo...
  14. GoldDhahabu

    Demokrasia isikiuke maadili ya kijamii

    Wakenya wanastahili pongezi kwa hatua waliyofikia katika demokrasia. Lakini kama demokrasia ikiwa inakiuka maadiki ya Jamii husika, inakuwa ni ya hasara badala ya faida. Nionavyo, kwa sababu ya uhuru wa kujieleza, baadhi ya Wakenya, hasa vijana, wanatumia hiyo fursa kufanya mambo ambayo ni ya...
  15. F

    Diaspora ya Tanzania tumesikitishwa sana nchi yetu kurudi nyuma katika masuala ya demokrasia na uhuru wa kujumuika

    Tulifikiri nchi yetu inatoka katika giza la siku zilizopita ambazo zilighubikwa na uhasama wa kisiasa na matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwazuia wapinzani kushiriki siasa. Tunasikitika kuona yale yaliyoichafua Tanzania ndani na nje ya mipaka yake yamerudi tena; -utekaji -kuzuia wanasiasa wa...
  16. Utawala2025

    Lini utekaji wa watu kupitia watu wasiojulikana utakoma?

    Habari. Kama kila siku vyombo vya dola vinatuhamasisha wananchi tuweze kulinda Amani ya nchi Yetu. Lakini Hali hii kwa hivi karibuni nchini mwetu imekuwa kitu cha tofauti na kuleta sitofahamu kwa sisi wananchi. Kumekuwa na wimbi kubwa la wananchi kutekwa kwa vipindi tofauti na mazingira...
  17. Mi mi

    Demokrasia ni mfumo mzuri ila una changamoto kubwa

    Demokrasia ni mfumo mzuri ila una changamoto kubwa bila jamii yenye . Uelewa mkubwa katika mambo ya kijamii . Uelewa mkubwa katika mambo ya kisiasa . Kiwango cha juu cha ustaarabu Demokrasia unakuwa mfumo mbaya katika jamii husika, kama unavyo fahamu kuwa demokrasia ni mfumo unaotoa kiwango cha...
  18. I

    Demokrasia iliyokomaa nchini Marekani ni mfano wa kuigwa duniani kote.

    Mgombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Democratic nchini Marekani Bibi Kamala Harris ameanza kumuwashia taa ya indicator mgombea wa chama cha Republican Bw. Donald Trump. Hii ni kufuatia matokeo mbalimbali za kura za maoni zilizotolewa na mashirika kadhaa ya nchini humo. Na kama hali...
  19. Mturutumbi255

    LGE2024 Hatma ya Demokrasia Tanzania: Madhara ya Tamisemi Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Hatua Muhimu kwa Serikali na Upinzani

    Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
  20. Mkalukungone mwamba

    Mwabukusi: TLS ni Kiungo wa kuifanya Nchi yetu kushamiri Kiuchumi, Kisiasa na Demokrasia

    Ameyasema hayo leo Julai 26/7/2024 baada ya kushinda kesi yake Baada Mahakama kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS Hapo awali, Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo ambapo aliamua kufungua shauri la kupinga maamuzi ya...
Back
Top Bottom