Wakuu,
Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah.
Asema kuna watu wanatamani sana kuona kuna mafarakano chadema, na kwamba hilo haliwezi kutokea, wabaya wao...
Kutokukubaliana na maamuzi ya wananchi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka ni sawa na kuzuia maendeleo.
Wagombea wanapojinadi, wananchi hupata nafasi kubwa ya kuchagua kiongozi wanayeamini ataleta maendeleo.
Hata hivyo, CCM mara nyingi huonyesha utayari wa kupinga maamuzi ya wananchi kwa...
Maono kuelekea Tanzania isiyo ya kidemokrasia:
Watanzania demokrasia nchini itakapo toweka kwasababu ya watu wenye tamaa za madaraka kinyume na utaratibu tulioweka wengi wenu mtakufa na kutekwa usalama wa taifa utazorota, huduma za msingi zitapungua na gharama za maisha zitapanda, kodi nyingi...
Polybius, Mwanafilosofia wa kale wa Ugiriki na baadaye mfungwa wa Roma kisiasa aliyeishi karne ya pili kabla ya Kristo alichukua muda mrefu kujifunza mifumo ya serikali na historia yake katika nchi yake ya Ugiriki na Utawala wa Roma akaja na nadharia maarufu ya "anacyclosis".
Katika nadharia ya...
Wakuu nimekutana na barua mtandaoni inasambaa inaonekana kuwa ya LHRC ina kichwa cha habari, uimarishwaji wa demokrasia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, barua hiyo inaeleza kuwa Tanzania imeonesha hatua kubwa katika kuimarisha demokrasia kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa. wakuu hapa...
Katika kudhihirisha unafiki wake nchi ya Ufaransa ilitumia neno "Rais" wakati wa kuripoti habari iliyomuhusu Rais wa Gabon aliyeingia madarakani baada ya mapinduzi ilihali nchi hiyo hutumia neno " Junta"pale taarifa inapowahusu marais wa nchi za Mali, Niger na Burkina Faso ambao pia waliingia...
Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.
Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.
Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia...
Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa.
Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila uozo. Vyama vya upinzani vikaanza kuonekana ni wakimbizi ndani ya nchi na vikaanza kusakwa kama...
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiwa zinakaribia ukingoni, viongozi wa vyama vya siasa nchini wameendelea kuhamasisha wananchi kushiriki kwa amani na utulivu kwenye uchaguzi huo.
Mwenyekiti wa United Peoples Democratic Party (UPDP), Twalib Kabeje, amezindua kampeni za chama hicho...
Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k
Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi..
Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia..
Ila once again CHADEMA poleni
Hii itakuwa zaidi ya 2020..
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Arusha, Antony Maswi amewaasa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa vijiji/mitaa na vitongoji kuzingatia demokrasia na kutumia lugha za staha wakati wakiendelea na kampeni zao.
Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
Wakuu,
Ya kweli hayo?
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
=====
Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amezindua rasmi kampeni za...
"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
Kwa drama zinazoendelea kwenye mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa zinaonesha kwa jinsi gani tuna matatizo.
Ka uchaguzi haka kadogo drama za kijinga zinainuka ambazo hazina maana.
Demokrasia nchi hii ime base kwenye kuhamasisha watu kupiga tu "kupiga kura ni haki yako"
Watu wengi hawana...
Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi.
Soma hii taarifa yao hapa chini
Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika;
"Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
Sio bahati mbaya rais Samia amekwenda Marekani wakati huu taifa hilo lenye nguvu zaidi duniani likiwa katikati ya mtanange mkali wa uchaguzi. Na mara hii ni kati ya mhafidhina Donald Trump na mwanamama Kamala Harris.
Mtu hawezi kushindwa kufikiri kuwa kimya kimya rais Samia amekuwa kwenye...
Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi.
Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM.
Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja cha siasa sio demokrasia wakati nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa. Nilisema Kwa chama kimoja kuunda tume huru kunapoteza maana halisi ya nchi yetu kuwa ni ya vyama vingi vya siasa kunakuwa hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.