deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
  2. Mkalukungone mwamba

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki
  3. GENTAMYCINE

    Mdogo wangu Ali Kamwe jitahidi kadri uwezavyo ulilipe Kiutendaji zaidi Deni la wana Yanga SC wengi Waliokukulia na Kukuamini, ila kaa mbali na Manara

    Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda huwa Unanikera / Unatukera wana Simba SC kwa Madongo yako ila kwakuwa Sisi ni Wanamichezo na Watani...
  4. Majok majok

    Adui wa ndugu yako ni adui yako ,,,Tumewalipia Simba deni lao la kichapo cha bao 4-0 toka kwa AMAKHOSI!

    Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief! Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha! Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
  5. Jidu La Mabambasi

    Deni la Taifa na ukoloni mpya: Namuunga mkono Rais Samia lakini si chawa

    Namuunga mkono mama Samia katika kufungua uchumi na kuingiza mitaji ya kibiashara pzmoja na kuruhusu uwekezaji kutoka nje na ndani ya nchi. Lakini mimi si chawa, na kila hatua mbele lazama iwe na tafskuri ya mustakabali wa yale watanzania tunayotegemea miska ya mbeleni. Wazungu, waarabu si...
  6. narudi kesho

    Kipi kilikufanya ugombane na rafiki yako?

    -Tupe story ilikuwaje hadi rafiki yako mpendwa uliyo amini utafika naye mbali lakin mkashindwana. mimi nilimkopesha na simu zangu hakawa hapokei wala sms hajibu. #bakitumolo
  7. BLACK MOVEMENT

    Rais Ruto aunda tume ya kukagua Deni la Taifa na kujua ukweli wake

    Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa. Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui. Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana...
  8. JanguKamaJangu

    LHRC: Kuongezeka kwa Deni la Taifa kunaweza kuongeza ukali wa maisha, gharama za uendeshaji wa Serikali zipunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeeleza kwamba kuendelea kuongezeka kwa deni la Taifa kunaashiria kwamba ukali wa maisha unaweza kuongezeka ukisababishwa na kulipa deni hilo. Ili kupunguza makali hayo wanashauri "Ni maoni yetu kuwa , ni muhimu kwa Serikali kupunguza gharama za...
  9. Tukuza hospitality

    SoC04 Deni la Taifa, Tanzania Linaweza Kupungua Endapo Mifumo ya Maendeleo Itafanyiwa Mageuzi

    Utangulizi Kwa miaka ya hivi karibuni, yaani mwaka 2021 hadi sasa, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu ongezeko la deni la Taifa. Miongoni mwa makundi yanayohusika na mijadala hii na hata malalamiko ni yale ya Wanazuoni, asasi za kiraia na ya wanasiasa. Mijadala inajikita katika mambo muhimu...
  10. Nyanda Banka

    Sasa deni la serikali lifikika Tril. 100 itakuaje

    Yani juzi juzi tu ripoti ya CAG ilikuwa inasoma deni L taifa ni Trial. 82.25 Leo tena Prof, anasema deni La seikali limefikia Tril. 91.7 Ila sio vibaya kwakuwa lengo ni kuijenga nchi yetu na kuinua kiuchumi zaidi LET'S GO
  11. BARD AI

    Ghamara za kulipa Deni la Serikali zimepanda kufikia Tsh. Trilioni 13.13 kutoka Tsh. Trilioni 10.48

    Kiwango cha Fedha zinazotumika kulipa Madeni likiwemo Deni la Serikali kimeongezeka kutoka Tsh. Trilioni 10.48 za mwaka 2023/24 hadi kufikia Tsh. Trilioni 13.13 mwaka 2024/25 Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha, Serikali imetenga kiasi hicho cha Fedha kwa mwaka huu ikiwa ni...
  12. covid 19

    Mdai wangu amesema amenisamehe deni analonidai ila niwe makini barabarani gari lake linakawaida ya kufail breki

    Ni baada ya kumwambia kwa sasa nitashindwa kulipa deni lake la laki tatu hali yangu bado sio nzuri ajabu hiyo kauli aliyonipa ni kuwa amenisamehe ila niwe makini barabarani hii kauli alikuwa na maana gani wadau?
  13. passion_amo1

    Nani alikwenda shule kuchukua cheti chake akakuta amewekewa Deni ambalo halifahamu?

    Wakuu Heshima mbele. Juzi nilikuwa natokea PWANI nikakumbuka kwamba sikuwahi kuchukua cheti changu cha kidato cha sita. Sasa nilikuwa na mama watoto, nikamwambia sababu muda umeenda kesho unisindikize shule nikachukue cheti changu, akasema tutakwenda. Basi tulilala mjini pale na asubuhi yake...
  14. Replica

    Alala na kula Serena kisha kutokomea bila kulipa deni la milioni 21, adakwa na kufikishwa mahakamani

    Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 wa Goba Kulangwa amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni 21.4 Baada ya kupata huduma, mdaiwa alitokomea kusikojulikana. Mfumbulwa alikana...
  15. MUBIKU

    Nimelipwa deni langu Tsh. Milioni 1.3 baada ya miezi 6. Nifanye uwekezaji gani?

    Wana jamvi msaada wa mawazo. Kuna sehemu nilidai pesa yangu zaidi ya miezi 6, hatimae leo wamenilipa. Naomba ushauri niifanyie uwekezaji au/ biashara gani ambayo itazalisha na kuongeza thamani ya pesa. Malipo yenyewe ni madogo tu ni milion1 na laki tatu, eneo nililopo ni Mwanza tayari...
  16. kavulata

    Kumbukumbu ya Sokoine na ongezeko la deni la Taifa

    Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza miaka 40 toka kuondoka duniani. Maswali kichwani mwangu ni mengi, hasa yanayotokana na umaskini...
  17. Hamduni

    Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
  18. Bravo247

    Kumkopesha ndugu ni kuua undugu wenu

    Nimejifunza ni bora lawama kuliko fedheha. Ndugu yangu alikuwa na mahusiano mazuri sana na mimi tuliweza kuwasiliana na kutembeleana mara kwa mara, lakini mambo yalibadilika baada ya yeye kupata matatizo fulani na kuomba nimuazime kiasi fulani cha pesa (kikubwa tu), nikamsihi nami niko vibaya...
  19. DodomaTZ

    Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio...
  20. Roving Journalist

    Viwango vya kubadilisha fedha vyakuza deni nchi za Afrika

    Na. Eva Valerian na Peter Haule, WF, Victoria Falls, Zimbabwe Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na...
Back
Top Bottom