deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    China yazifutia deni nchi 17 za Afrika, lakini vyombo vya habari vya Magharibi viko kimya

    Na Fadhili Mpunji Hivi karibuni mkutano wa uratibu wa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya China na Afrika kwenye mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, ulifanyika kwa njia ya video chini ya uenyekiti wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi...
  2. co fm

    Kulipa deni ni mtihani

    Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia...
  3. BARD AI

    Binti aliyefutiwa deni Mloganzila aliwahi kuosha magari kutafuta ada

    Maisha ni safari ndefu, kuna milima na mabonde. Ndivyo unavyoweza kumwelezea Lightness Shirima, ambaye amepitia changamoto nyingi za maisha katika umri mdogo. Katika kuhakikisha anatimiza ndoto zake za elimu, Lightness amekuwa akitafuta msaada wa hapa na pale ili kufikia malengo, licha ya...
  4. S

    SoC02 Deni halipaswi kukimbiwa bali kulipwa

    Ndugu zangu, Nadhani neno ‘deni’ si geni machoni mwetu. Ni moja ya kitu mashuhuri katika jamii zetu. Wingi wa neno deni ni ‘madeni.’ Binafsi mtu akiniuliza deni ni nini, nitamweleza kuwa; Deni ni shurti (jambo la lazima kufanya) analovikwa au kujivika kiumbe awe hai au mfu. Ili twende sawa...
  5. sky soldier

    Marekani anatoa misaada kiduchu hataki Ukraine ashindwe wala kushinda sana, anataka vita iwe ndefu ili kumfanyia utafiti Urusi na Ukraine awe mdaiwa

    Ndicho nachokiona, Marekani anatumia misaada kidogo kidogo lengo ni Ukraine asishinde wala asipigwe, yani vita iwe neutral wawe wanatwangana na mrusi, Nipe nikupe, Marekani akiona Ukraine anazidiwa anamtumia silaha , akiona anakaribia kupata ahueni anazima data rais wa Ukraine anaanza...
  6. Kitimoto

    Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

    BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR...
  7. OffOnline

    Tanzania ndio nchi yenye mzigo mdogo wa deni Afrika Mashariki kwa sasa

    Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu, Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo cha redio cha E-FM amedadavua kwa undani Sana swala hili la deni la Taifa, RC Kafulila anasema...
  8. L

    Ukweli kuhusu suala la deni Afrika waendelea kuwekwa wazi, nchi za Magharibi haziwezi kutwisha lawama kwa wengine

    Kwa muda wa karibu muongo mmoja sasa vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimekuwa vikipata matope China kuwa ni chanzo cha mzigo wa madeni kwa nchi za Afrika, na kufanya baadhi ya watu waamini hivyo. Lakini baada ya tafiti mbalimbali zilizofanywa na taasisi huru za nchi za magharibi...
  9. Ulongupanjala

    Bayport na deni

    Ndugu zangu heshima kwenu nyote. Mwaka 2017 ndugu yangu alichukua mkopo Bayport huko Moro na ulikuwa ni mkataba wa miaka 3 ulitakiwa uishe 2019. Ndugu yangu anasema yeye alikatwa mshahara kurejesha deni hadi January 2019,akawa anapokea mshahara wake wote bila makato. Wiki chache zilizopita...
  10. E

    Msaada wa kimawazo nimalize Deni la sh. 9M

    Habari wana JF , nina Deni la 9M linanisumbua sana ili niweze kilimaliza nna hitaji kila mwezi nipate 900k lasivyo litazidi ongezeka . Wana JF hapa mfukoni nna 2.2 M nifanye shughuli gani inisaidie kulimaliza maana linaongezeka na mimi kibanda changu cha M pesa /tigo/airtel na halo pesa kina...
  11. Rashda Zunde

    Kuhusu Deni la Taifa

    Deni la taifa huwa linapimwa kwa ustahimivu yaani wanatazama uchumi wa Nchi kisha wanaangalia kama hili deni linaweza kulipika. Ukiona deni na bado wanaweza kukopa inamaana kuwa hilo deni ni stahimivu. Deni haliwezi kua tamu, deni ni chungu sababu tutalazimika kukata baadhi ya matumizi ya...
  12. Bikirajohola

    Waziri Mwigulu Nchemba: Deni la Taifa lafikia Tsh Trilion 69.44

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa na Sh60.72 trilioni kwa kipindi kama hicho mwaka 2021, sawa na ongezeko la asilimia 14.4. Kati ya kiasi hicho, deni la nje lilikuwa Sh47.07 trilioni na deni...
  13. Replica

    Mchumi: Wengi wakisikia 'figures' za Deni la Taifa wanaogopa, kama lipo kwaajili ya miradi itakayozalisha lina tija

    Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma, David Mwakapala akiwa Bungeni Dodoma amesema watu wengi wanaogopa idadi ya tarakimu likisemwa deni la Taifa au Serikali ikiingia mkopo. Mwakapala amesema deni baya ni ile inayoingia kwenye 'Productive activies' lakini inayokopwa inaingia kwenye miradi ambayo...
  14. M

    Ukraine inalazimisha kupewa silaha utafikiri ni deni: Msaada ukikawia inatukana!! Hawa ni manazi wa uhakika!

    Ukraine imeikashifu sana ujerumani. Kisa ni kwamba ukraine iliiomba ujerumani msaada wa silaha nzito za kurusha makombora lakini mpaka sasa ujerumani haijatekeleza japo milikubali. Sasa ukraine wanaikejeli ujerumani kuwa wanapeleka makombora ukraine kwa usafiri kama wa konokono!! Ujerumani...
  15. OffOnline

    Shaka Hamdu Shaka: Tunahakiki deni la Bilioni 1 wanalodaiwa Uhuru Media kama lina ukweli wowote

  16. kavulata

    Royal Tour inatupa deni tusiloliweza

    Kama mitaa ya nchi ni michafu sana, demokrasia ya uchaguzi bado hatuna, vilio vya katiba havijakoma na wasiojulikana bado hawajakamatwa, je, tunadhani kuwa watalii hawana akili? Je, wananchi, madereva, waongoza watalii, polisi na watoa huduma kwa watalii wana ufahamu na ujuzi kuhusu watalii...
  17. OLS

    CAG amesema deni la Taifa limepanda kwa 13.7% kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi

    Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi. Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la...
  18. Stroke

    Deni la mabilioni linalotokana na kukosekana kwa umeme kwa mkandarasi JNHPP ni Batili

    Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba. Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia...
  19. Suzy Elias

    Deni la taifa linadaiwa kuongezeka kwa 13% na kufikia Tilioni 64+

    Hii ni zaidi ya hatari! Japokuwa wanaendelea kujitetea kwamba deni la taifa bado ni himilivu lakini ukweli kama Nchi tunadaiwa pesa nyingi sana na hali hiyo lazima inaipa wakati mgumu Serikali kukusanya mapato yake. Sipati picha ongezeko hilo lingetokea wakati wa Utawala wa JPM!
  20. Magazetini

    Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
Back
Top Bottom