depression

  1. Wansakieki

    Suluhisho la kucheleweshwa kwa 'placements' ni hili

    Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly. Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni vijana(job seekers). Hivyo basi napendekeza hili lifanyike from now. Napendekeza Kutolewa majibu ya...
  2. BARD AI

    Depression na Wasiwasi Uliopitiliza unagharimu Uchumi wa Dunia zaidi ya $ Trilioni 1 kila mwaka

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Takriban 20% ya Watoto na Vijana duniani wana Tatizo la #AfyaYaAkili, ikiwa ni sababu ya Pili kwa kuchangia Vijana wenye miaka 15 hadi 29 kujiua duniani. Pia, katika kila kundi la Watu 5 waliopo kwenye mazingira yenye Vurugu, mmojawapo anakabiliwa na...
  3. C

    Fact: Magufuli destroyed our economy and we were herding to total economic depression

    Thanks God that all is well. In fact our GDP is still very low and it is as 5 times lower that that of Washington DC not speaking about the whole country. Even the low budget of roughly 3.3 trillion reflects the low GDP of this country. Now, contrary to what was expected jpm decided to launch...
  4. C

    Wakuu depression inanimaliza

    Kwema ndugu zangu, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
  5. Ryan Holiday

    Viongozi mtatuua kwa sonona

    Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day. ✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔 🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia? 🤔Bado viungo? 🤔Bado sijanunua mafuta ya kula? Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe...
  6. NetMaster

    Wengi tuna 'depression' lakini tunaogopa kuongelea kwa kuhofia kuonekana dhaifu, kutangazwa, kuchekwa na tunaowashirikisha kufurahia tunayopitia

    Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke. Wengi sana...
  7. G

    Depression Itaniua

    Habari za leo wana GT. Niende kwenye hoja ya msingi. Kwa utambulisho huu mimi si mgeni humu ila ID nliyotumia ni mpya niliona nifungue hii ili nisiwezekujulikana na wanaoifahamu ID yangu iliyozoeleka hasa mke wangu. Kwa hakika hapa nilipo nina msongo wa mawazo unanisumbua na ninahisi...
  8. FRANCIS DA DON

    Je, kuna tatizo la ‘Inbreeding depression’ nchini Rwanda?

    Katika vitu ambavyo vinanishangaza, ni wananchi wa Rwanda almost 90% wamefanan sura na Rais Kagame, je, hii inaweza kuwa moja ya matokea ya ndugu wa damu wa karibu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe? Kwa kiingereza wanaita ‘Inbreeding depression’, je, inaweza kuwa ndio sababu ya kufanana wanachi...
  9. kahara

    Nina depression ya kukimbiwa

    kama kichwa cha habari tajwa nilikua na mahusiano na mke wa mtu aliye mkimbia mume miez kadhaa sasa bhana na mimi kanikimbia karudi kwa mume wake sasa kila nawaza kumtoa kichwani hatoki nawaza nifanye nini ili nimsahau mwenye usaidi ani mp japo ni recove
  10. hopetumaini

    Nimesababisha depression kwa mtoto wa watu

    Habari za jioni wapendwa. Mimi ni mtumishi wa afya katika moja ya hospitali zilizoko jiji la Makalla. Mwanzoni mwa wiki iliyoisha alikuja mrimbwende mmoja kumuuguza rafiki yake aliyekua kalazwa hospitalini kwetu. Nilimwelewa sana huyu mlimbwende nikajisemeha huyu mtoto siwezi muacha hivihivi...
  11. M

    Msaada wa kimawazo: Nahisi naanza kupata depression

    Mimi ni kijana, miaka 27. Ninaishi na kufanya kazi mkoani nyanda za juu kusini huku. Nina kazi nzuri na vibiashara vya hapa na pale vya kuniweka mjini. Nilikua na malengo mengi sana na swala la kuoa sikua nimelipanga kwa sasa. Sikua na uhusiano wowote serious. Mwaka jana mwanzoni kuna binti...
  12. Bensonlukwambe

    Nervous Breakdown

    Happy New year 2021 everyone . Hope this year comes with blessings and happiness . Reflecting last year events , today I've decided to talk about Nervous Breakdown . Make 2021 the year you prioritize your mental health, it's one of the most rewarding things you'll do and something that...
Back
Top Bottom