Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh
Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.
✍️10,000 - 7500 = 2500 🤔
🤔Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
🤔Bado viungo?
🤔Bado sijanunua mafuta ya kula?
Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe...