derby

Derby ( (listen) DAR-bee) is a city and unitary authority area in Derbyshire, England. It lies on the banks of the River Derwent in the south of Derbyshire, of which it was traditionally the county town. Derby gained city status in 1977, and by the 2011 census its population was 248,700.
Derby was settled by Romans, who established the town of Derventio, later captured by the Saxons, and later still by the Vikings, who made their town of Djúra-bý one of the Five Boroughs of the Danelaw. Initially a market town, Derby grew rapidly in the industrial era. Home to Lombe's Mill, an early British factory, Derby has a claim to be one of the birthplaces of the Industrial Revolution. It contains the southern part of the Derwent Valley Mills World Heritage Site. With the arrival of the railways in the 19th century, Derby became a centre of the British rail industry.
Derby is a centre for advanced transport manufacturing, being home to the world's second largest aero-engine manufacturer: Rolls-Royce. Bombardier Transportation has a production facility at the Derby Litchurch Lane Works while Toyota Manufacturing UK's automobile headquarters is located southwest of the city at Burnaston.

View More On Wikipedia.org
  1. Derby ikurudiwa na vicious cycle itaendelea.

    Presidency ni kitu kibaya sana, inategemea namna utakavyoishughulikia la sivyo utaharibikiwa. Mabinti zako wanasubiri kuona namna utakavyolishughulikia swala la dada yao aliyepata mimba akiwa shuleni ili nao wajue wafanye nini. Bodi ya ligi itashindwa kushughulikia timu nyingine zitazogomea...
  2. Msigwa Atoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa zimekatwa mpaka chini hivyo kupelekea kuchimbika baada ya mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Hata hivyo...
  3. Zamelek Apewa points 3 na magoli 3 baada ya Ahly kugomea Cairo Derby

    Ahly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa Ahly hawana Imani na waamzi wa ndani Lakini wenzao Zamalek walikuwa tayari kuleta timu uwanjani na...
  4. Kuvuruga derby ya Simba na Yanga ni kuvuruga usalama wa Taifa na kuhujumu juhudi za Rais.

    Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni. Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa...
  5. Ikitokea YANGA wakakubali kucheza derby SIMBA atachezea goli nyingi sana sababu ya HASIRA alizonazo YANGA

    Yaani hawa YANGA wana hasira sana. Kuna gazeti limeandika kwamba simu moja tu itairudisha YANGA kwenye gemu pamoja na msimamo wa sasa kwamba hawachezi tena dabi. Sasa SIMBA wasiombee YANGA ikakubali maana watachabangwa goli zisizopungua 6. TAKE THIS FROM ME.
  6. R

    Nani kama mama, Alimuokoa Fei toto wakanuna, kwa mara nyingine anaenda kuwa mgeni rasmi Derby waliyosusia

    Nani kama mama, Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za...
  7. Tunaacha kuwaambia ukweli Mashabiki wetu Yanga SC kwanini tumefukuzwa Avic Town tunahangaika kwa Kuwazuga na Sakata la Derby kutokuchezwa

    GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
  8. Siku nyingine ya derby mashabiki Simba na Yanga hatutakuwepo

    Nimefuatilia sakata la derby ya Simba na Yanga Tanzania 08.03. 2025, itoshe kusema Bodi ya ligi mmehujumu ligi kuu ya mtanzania na mnapaswa kuwajibika, Simba na Yanga mnapaswa kuwajibika, mashabiki tumekwishawajibika. Siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka Duniani imekuja...
  9. S

    Arafat Haji: Yanga haitocheza mechi nyingine ya Derby zaidi ya hii ya March 8 katika msimu wa 2024/2025

    Ndugu Wananchi kwa dhati ya moyo wangu niwapongeze kwa kufika uwanjani kutoka kona zote nchini, mliosafiri kwa anga, mliosafiri kwa magari, mliopanda Pikipiki, mliopanda boti hadi Watembea kwa miguu, yote ni kwa ajili ya Yanga Afrika, huu sio tu upendo bali mahaba ya kulevya kwa klabu hii bora...
  10. Kuhujumiwa kwa Derby ya Simba na Yanga ni suala la kitaifa na sio jambo dogo!

    Tanzania ipo katika mchakato wa kuandaa mashindano makubwa ya AFCON Mwezi Julai 2027 kwa kushirikiana na Kenya na Uganda. Tukio hili ni la kipekee na limetumia rasilimali nyingi hadi sasa na pia ni tukio la kimanufaa linalotamaniwa na kila nchi Africa. Hadi sasa kwa muelekeo wa kimazingira...
  11. Bodi ya Ligi imetumia kanuni gani kuahirisha mchezo wa derby?

    Kwa mujibu wa kanuni zinazoendesha bodi ya Ligi, hizi ndizo sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo wa Ligi kuu kuahirishwa. KANUNI YA 9 KUAHIRISHA MCHEZO Mchezo unaweza kuahirishwa kutokana na sababu yoyote kati ya zifuatazo:- (a) Endapo timu ina wachezaji watano au zaidi katika timu ya...
  12. Yanga wana haki ya kususia ligi na kudai fidia iwapo mechi ya derby haitachezwa

    Kama ni kweli makomandoo walizuia wazee walioambatana na mbuzi kuingia uwanjani.... Kama kweli polisi walishindwa kuwadhibiti makomandoo.... Kama kweli hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu sakata hili .... Bila shaka Yanga inapaswa kuweka msimamo imara dhidi ya uhuni kwenye soka
  13. Hii Derby haina kipengele labda kipengele uje nacho wewe. Simba wameamua kuja na kipengele chao

    Vibaby boy, last born, drama queens, leo vimethibitisha rasmi hawa watoto wanapenda sana kuonewa huruma na kutafuta sababu tu ili mradi watu wawaonee huruma. Unasusia derby ili iweje wewe? Kwamba wiki nzima hukujiandaa na mechi kisa mazoezi ya siku ya mwisho ndio ususe mechi. Nawaonea huruma...
  14. Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

    Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣 Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh: Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
  15. S

    Kiemba: Wakati nipo simba mganga wa derby alikua Nakisha

    “Miaka ya nyuma siku kama ya leo kwa upande wetu sisi Simba usingizi unakuwa wa tofauti na muda mwingine mnaweza msilale kwa sababu mganga wa mwisho alikuwa anaondoka saa 9 usiku”-Amri Kiemba
  16. M

    Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

    Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa shughuli Gani! Wasimamizi wa uwanja nawapa kongole Kuna ujinga ulitaka kufanyika pale ndani kwa kisingizio...
  17. Azam hua mnakosea sana kwenye matangazo yenu ya Derby

    Azam kitengo Cha Promotions hua mnafanya Sana hili kosa la double standard kwanini? Yani inachekesha sana Kwenye games 2 za mwisho Yanga Vs Simba zote Yanga ameshinda Tena Kwa goli 1-0 zote hapo Simba hajafunga hata goli la kuotea ila Kwa tangazo lenu official la Derby mnaonyesha Simba...
  18. Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

    Tuone kipawa chako cha ubashiri. Kuelekea mchezo wa weekend hii, Yanga Vs Simba, tabiri matokeo yatakuaje. Mimi naanza Yanga 1-3 Simba, Tutakuepo
  19. Angalizo kwa Simba SC kuelekea derby tar 8 March 2025

    Wakuu Assalam Alleikhum. Binafsi nipende kutoa angalizo juu ya upangaji wa kikosi kwa Coach Fadlu na benchi lake la ufundi kuelekea derby jumamosi. Kama kocha Fadlu anataka matokeo,wachezaji wafuatao wasianze kikosi cha kwanza: 1. Ngoma 2. Chamou 3. Mukwala 4.Mpanzu 5.Kapombe Kwa Ubora wa...
  20. AHMED ARAJIGA kuchezesha Derby tarehe 8

    Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8. Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…