Dereva bodaboda Stefano Maziku (25), mkazi wa Kitongoji cha Igwesa, Kijiji cha Iboja, Kata ya Ukune wilaya ya kipolisi Ushetu mkoani Shinyanga, amekutwa ameuawa kisha mwili wake kutelekezwa na watu wasiojulikana.
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.