dereva bodaboda ushetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dereva Bodaboda auawa kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana Ushetu

    Dereva bodaboda Stefano Maziku (25), mkazi wa Kitongoji cha Igwesa, Kijiji cha Iboja, Kata ya Ukune wilaya ya kipolisi Ushetu mkoani Shinyanga, amekutwa ameuawa kisha mwili wake kutelekezwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…