dereva

  1. Waziri Lugola amkamata dereva wa basi aliyetaka kusababisha ajali, apelekwa Polisi abiria warudishiwa nauli

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kulazimisha kuovateki bila ya kuwa na tahadhari katika barabara kuu ya Mwanza Mara. Magari hayo ni basi lililokuwa na abiri liitwalo Manoni Safaris lenye namba za usajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…