dereva

  1. GuDume

    Dereva fahamu HAKI na WAJIBU wako unapokutana na Traffic Barabarani kuepusha Migogoro

    Wadau wenye usafiri tuweze shirikishana mambo mbalimbali ambayo madereva wanapaswa kuzingatia barabarani hasa kwa upande wa Haki na Wajibu wao. Na sisi tusio na magari pia tutapata darsa hapa.maana nakumbuka miaka ile sisi tunasoma tulijifunza kwenye Geography Kilimo cha Mahindi USA lakini...
  2. MK254

    Tanzania yasalimu amri kwa Uganda pia, kila dereva lazima apimwe, hamna kucheka cheka

    Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote. Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na kukubali madereva wake kupimwa na Wakenya, sasa imetangazwa hata kwa Uganda mwendo ndio huo huo...
  3. James_patrick_

    Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
  4. spencer

    Rais Magufuli: Shule na Shughuli zote kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020

    Rais ametangaza kwamba tarehe 29/06/2020 shule zote zifunguliwe. Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana. Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee na maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa awali. Ameyasema hayo akihutubia wananchi kupitia kikao...
  5. Kizimbuzi

    Mimi dereva natafuta Bajaji ya Mkata

    Natafuta bajaji ya kuendesha kwa mkataba. Hesabu kwa Siku 20,000/=. Namba yangu 0713695147. Nipo Madale, Dar es Salaam. Kama una bajaji tuwasilian
  6. MK254

    Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

    Kenya and Tanzania have struck a deal to make public data on the COVID-19 status of truck drivers without mentioning nationality of those who test positive. A statement signed by Transport Ministers James Macharia (Kenya) and Issack Kamwele (Tanzania) said the data will be submitted to the...
  7. Mzukulu

    Kupiga Picha ukiwa ama umeshika Gari la Kifahari au umekalia katika Kiti cha Dereva huku ukijijua kabisa kuwa hujui hata Kuendesha kuna maanisha nini?

    Mliosoma na Kubobea hasa katika Saikolojia hii hali huwa mnaiitaje na Kitendo husika pia huwa kina maana gani kwa Mhusika?
  8. JM3

    TANZIA Aliyekuwa dereva wa Mkurugenzi msaidizi (Utawala) ofisi ya Makamu wa Rais, Bw Willhelmy Benard Kido afariki dunia

    TANZIA Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais:Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,Anasikitika kutangaza kifo Cha Bw. Willhelmy Bernard Kido
  9. N

    Video: Msaada unahitajika, dereva wa lori aanguka Mafinga

    Jamani nimeambatanisha video,kwa anayemjua atoe msaada au kupigia matajiri wenye gari,raia wanaogopa kumgusa wengine wanaendelea na shughuli kama kawaida. Welcome to the new Tanzania, magari yanapita kama kawaida watu wanachapa kazi ONYO: Siyo corona jamani,kwani magonjwa mengine hamna?
  10. beth

    #COVID19 Visa vya Coronavirus vyafikia 89 baada ya dereva mwingine kukutwa na maambukizi

    Wizara ya Afya ya Uganda imetangaza ongezeko la mgonjwa mmoja wa COVID19 nchini humo na idadi ya visa imefikia 89. Mgonjwa mpya ni dereva, raia wa Kenya aliyegundulika baada ya sampuli 2,729 za madereva malori kufanyiwa vipimo. Aidha, Wizara hiyo pia imeeleza kuwa madereva wawili wa malori...
  11. Sky Eclat

    Uzoefu wa dereva umeonekana kwenye kupanda mlima

  12. G Sam

    Dereva Mtanzania akutwa na maambukizi ya COVID 19 kwenye mpaka wa Tanzania na Uganda

    Wizara ya afya nchini Uganda imeripoti kisa kimoja cha maambukizi ya COVID 19 kama jinsi ambavyo inaonekana hapa chini. Je, alipitaje hadi kufika ndani ya Uganda na ndipo akachukuliwa vipimo akiwa huko? Bado tuna kazi kubwa. ======= Authorities in Uganda are tracking a Tanzanian driver who...
  13. B

    Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

    Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini. Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono. Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako...
  14. G

    Natafuta gari ya kufanyia kazi, iwe ya hesabu au mkataba

    DEREVA WA UBER NATAFUTA GARI dereva wa uber mwenye uzoefu wa muda mrefu natafuta gari ya kufanyia kazi iwe ya hesabu au mkataba ni maelewano tu. nipo Dar Es Salaam..nakubali gari ya aina yoyote ilimradi imekidhi vigezo vya uber. Asanteni kwa mawasiliano 0756002927
  15. Jamii Opportunities

    Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
  16. G

    Natafuta kazi ya udereva wa Uber

    Hellow, Naitwa Neema (msichana) ni dereva natafuta gari kwa ajili ya Uber, yeyote anayehitaji dereva wa Uber tafadhali wasiliana nami kupitia: 0748341758
  17. mageta mageta

    Dereva wa Uber anahitajika

    .
  18. S

    Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

    Nimesoma habari kuwa ajali imetokea huko Dodoma usiku wa Jumapili 29 December wakati lori lenye namba T364 AZZ lilipokuwa likijaribu kukwepa shimo kubwa barabarani liliigonga Coaster yenye namba T846AYU na watu sita kufa hapo hapo. KUna majeruhi wako hospitali wengine ICU. Kutokana na tukio...
  19. Bonde la Baraka

    Mjadala: Leseni inapokwisha muda wake ni sahihi dereva kuilipia kisha kupewa mpya bila kupewa mafunzo tena?

    Kuna vitu mtu unashindwa kujua lengo la serikali zetu hizi, dereva anapewa leseni, anaendesha gari kwa miaka fulani kisha inachuja (expire). Inampasa alipie kiasi fulani kisha apewe kadi (leseni) nyingine. Lengo ni kudhibiti ajali barabarani au kuongeza mapato? Kama lengo ni kuongeza mapato...
  20. mageta mageta

    Dereva wa uber

    Habari wana JF Dereva wa uber anahitajika Vigezo: 1. Awe na experience ya biashara 2.awe na account uber [active account] 3.awe mkazi wa dar es salaam Kama yupo anitafute kwa namba hii 0656735641
Back
Top Bottom