Habari waungwana.
Naitwa James patrick naishi Dar es salaam, nina miaka 26, natafuta kazi ya udereva
Nina uzoefu wa kuendesha ndani na nje ya jiji la Dar, pia nina uzoefu wa kuendesha gari za uber kwa miaka mitatu hvyo basi ninalifahamu vyema jiji la Dar.
Sichagui mkoa na wala sichagui ni...
Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.
Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine...
Natafuta Dereva wa kufanya kazi mkoani mwenye leseni Class E na uzoefu wa kuendesha Howo SinoTruck. Umri usizidi miaka 35 years. Tuma maombi yako hasaf203@gmail.com
Dereva wa Treni iliyobeba watu 160 Nchini Japan anakabiliwa na adhabu baada ya kuachia nafasi yake kwa dakika kadhaa ili kwenda kujisaidia
Dereva huyo wa miaka 36 aliumwa tumbo na alihitaji kwenda maliwatoni haraka hivyo alimuita Kondakta asiye na Leseni ya Udereva, na kumuachia treni kwa...
Wakuu habari za kazi, Naomba msaada wenu wa kupata kazi ya udereva, mtu yeyote mwenye conection anisaidie, nilisomea veta leseni yangu ina madalaja A B D E, pia nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu kama cv yangu inovyo onesha, naendesha magari madogo, na truck.
Call/WhatsApp, 0766428475...
Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Fatuma anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 39 na dereva wa bajaji ambaye naye jina lake halijafahamika wamefariki dunia leo baada bajaji waliokuwa wanasafiria kugonga treni eneo la Modeko Kata ya Mazimbu mkoani Morogoro.
POST: DEREVA WA MASHUA/VIVUKO DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORY(S): TRANSPORT AND LOGISTICS
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko
Kuchunga usalama wa abiria...
"Jahazi hili, upepo uwe mwingi, upepo uwe mdogo, jahazi hili lazima likate mawimbi hili safari ifike." Mhe. Rais Samia.
Dereva wa lori, Mungu amrehemu, nae alisema anatupeleka kwenye nchi ya asali na maziwa, hivyo tulitakiwa kutulia na kuwa kwenye mako wowote ule. Lakini ndio hivyo katutoka...
Mara ya mwisho nilipanda basi la Tawaqal nikitokea mkoani Ruvuma lakini kwa sasa ni muda mrefu Tawaqal zimeachana na route hiyo.
Nauliza Wahenga wale wa "Watu wa safari" huyu nguli wa barabarani dereva Giriki yuko wapi siku hizi?
Kazi Iendelee
cc: Bujibuji
Wakuu Naitaji Dereva ambae anaweza kuendesha gari manual
Namwitaji kwa siku ya kesho tu but kama atakuwa vizuri atafanya hiyo kazi moja kwa moja
Niko dar es Salaam chanika,
Mtu alie tayari anidm tafadhali
Habari wakuu,
Natafuta dereva wa bajaji (sio wa gari)mwaminifu, mchapa kazi na Hana visingizio mwenye leseni hai ambaye ana akaunti hai ya bolt na Uber, mwenye uzoefu angalau mwaka mmoja na mkazi wa Dar na anayepaki maeneo ya Sinza, Mwenge, Makumbusho, Moroco, Mikocheni, Oysterbay au Masaki...
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linamchunguza dereva wa basi la wanafunzi, Yohana Mwambene, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka mitano.
Dereva huyo anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya St. Anne Marie Academy iliyopo Mbezi kwa...
Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu?
Na haya ndio majibu
Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda...
Habari ndugu zangu Mimi ni dereva wa Uber natafuta gari ya kazi.
Nina uzoefu wa Kazi zaidi ya miaka miwili ya Uber Nina account ya uber na bolt pia nina leseni class c pia gari iwe ya mkataba au hesabu niko teyari.
Namba yangu ni 0624055653
Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.
Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki...
Mwaka jana Oktoba ni mwaka ambao kumbukumbu yake inanijia sana. Leo nimekumbuka zaidi baada ya kuonana ma Dereva mmoja anaitwa Richard.
Siku hiyo nilikuwa na gari yangu kubwa ni ya Diesel Manual ina Speed 240. Tumetoka Dar na jamaa yangu tunaelekea Dom. Huku kote nlikuwa naendesha mimi mpaka...
Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt.
Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
Salaam wakuu,
Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi.
Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni.
Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge.
Wasaidizi hao...
Kuna watu hujiita ni madereva na wapo hapa mjini kweli kwa mjini wanatesa sana na wanaendesha vizuri na control wanayo, Lakini ukija kwenye madereva wa mikoani hasa wale wanaotumia barabara za rough kiukweli wana uzoefu mkubwa mno i mean next level, hii n kutokana na changamoto wanazokutana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.