Siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari Moro kuelekea Dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea Dar tulipofika Dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia halikuwa ktk mwendo na kwa...
Habari ndugu zangu! wapambanaji na watafutaji wenzangu..kweli kazi ni changamoto sana kupata..na hasa kama auna connection utasota sana..itokee tu mkono wa mungu ukuguse!
jina langu naitwa James Patrick.nina miaka 26 na naishi jijini dar es salaam..nimekuja tena mbele yenu wana jamii...
Walimkamata dereva bodaboda na kumuingizia ufagio kwenye njia ya haja kubwa
Chanzo Mwananchi
====
RIPOTI MAALUMU: Polisi wadaiwa kumtoboa utumbo dereva bodaboda
THURSDAY SEPTEMBER 16 2021
Ally Bakari akiwa nyumbani kwao Chang'ombe mkoani Dodoma aliporuhusiwa kutoka hospitali kwa mara ya...
Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo...
Nimeniuma Sana....
Nikiwa katika pitapita jijin DSM nikawa bunju saa nne usiku nikawa katikakati ya vibaka bunju jjn DSM maeneo ya bunju B dereva pamoja na kondakta bas linaloonekana kuwa Tahiliso kuniamuru nishuke chini
Nikiwa nahitaji kufika ubungo ama hata mbezi stend ya magufuli Hawa jamaa...
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni yenye madaraja yanayoruhusu kufanya biashara ya uber/bolt, ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe...
MGONJWA aliyekuwa akiwahishwa katika Hospitali ya Wilaya Same, Ester Paresetwi (35) na gari likapinduka na kuua muuguzi na dereva amepona mara tu baada ya ajali.
Katika ajali hiyo ya gari la wagonjwa, muuguzi wa zahanati ya Kisiwani wilayani humo, Joshua Jacob (29) na dereva, Jumanne Makumbe...
Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu.
Malipo maelewano
Piga 0713 039 875
#KIBAHA: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akimuhoji Dereva wa Basi la Sauli Luxury Namba T418 DWF litokalo Mbeya kuelekea jijini Dar es Salaam, kwa kuvunja sheria za usalama barabarani, leo Jumatano Agosti 4, 2021, Saa 2:17 Usiku, Mjini Kibaha, Mkoani Pwani.
Cc Bujibuji
Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi '
Kwa mawasailiano zaidi
Ernest : +255628729873
Naomba ushirikiano wenu
Nimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano
Dar, Dodoma, Dodoma Arusha.
Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana
Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika...
Wakuu hbari,
Juzi kati nilikua na safari ya kwenda mikoa ya kusini sasa kila askari akinisimamisha kama nikiwa na kosa naandikiwa risiti na kuna huu utaratibu nimeuona mpya WA KUNAKIRI KOSA PEMBENI KWENYE NOTEBOOK PAMOJA NA TAARIFA ZA DEREVA.
Sijajua huu utaratibu mpya umewekwa kwa malengo...
Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam.
Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
Habari wakuu,
Natumaini mko poa. Nina ndugu yangu wa karibu, ni mtoto wa baba yangu mkubwa ambae anatafuta kazi ya udereva wa malori au gari za kawaida. Ana Leseni class C1,C2 na C3.
Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 10 wa kuendesha malori na magari ga kawaida, alikua kwenye kampuni moja ya...
Ni matumaini yangu mpo salama wote. Baada ya kusota mtaani kwa miaka miwili tokea kumaliza degree yangu nimefanikiwa kujikusanya na kupata kapesa kidogo.
Baada ya kuwaza sana nimeona ninunue pikipiki kwaajili ya biashara ya bodaboda ambayo nataka niifanye mimi mwenyewe.
Hatimaye kila kitu...
Salaam wakuu,
Kwa yeyete mwenye gari na anahitaji dereva wakumsaidia kumpeleka safari zake ndogo ndogo za hapa na pale mjini Dar es salaam,anichek tu,malipo tutaelewana ila trust me atakuwa kapata kijana msomi na smart wa kumuendesha😊.
Contacts 0653737209
Gender: Male
Age: 24
Wahenga wana msemo usemao lisemwalo lipo kama halipo laja, huwa jamii yetu wanasema jamii ya watu wanaofanya kazi za udereva haswa wa safari ndefu huwa wana tabia za uzinzi sana. Maneno haya yapo mtaani tangu siku nyingi hadi leo yanaongelewa, basi wikiendi iliyopita nilipata nafasi ya kusafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.