dereva

  1. Je, Leseni hii inaruhusu kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber au Faras?

    Habari za muda huu waungwana. Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya? Natanguliza shukrani.
  2. Polisi Iringa: Tunachunguza taarifa za ASAS kumuua Dereva wa Lori

  3. Dereva malori anaepita njia ya KIGOMA via UVINZA kuja Dar anahitajika

    Habari ndugu? Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100. Karibu Pm. NITALIPIA
  4. Dereva natafuta kazi.

    Dah ngoja nijalibu tena kuomba labda ipo siku mungu ataniona. Habari ndugu zangu poleni na uvumilivu wa kungojea muujiza wa mungu..usijali jua aupo peke yako wengine tunakalibia mwaka wa pili sasa atujaona cha muujiza wala cha nn na kama kuomba tunaomba sana..kuna mda unaweza ukakufuru anyway...
  5. Video: Dereva wa Gari la Serikali asababisha Ajali akiwa amelewa

    Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki. ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written By Mjanja M1 ✍️
  6. Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  7. Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

    Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo. Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd. Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake . Video...
  8. Dereva wa serikali usithubutu kumpa gari boss wako aendeshe

    Kuna ile inatokea dereva kazoeana na Afisa kama unavojua siku hizi wafanyakazi ni vijana unakuta dereva na boss wote ni washikaji wanakunywa pamoja sasa inatokea dereva labda kachoka au kalewa au kampa demu lift anaamua kumuachia boss aendeshe ili yeye Akakae nyuma adozi aisee ile ni hatari...
  9. Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

    Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa...
  10. Mjue Mbunge Maganga Aliyekuwa Dereva wa Malori na Mabasi na Sasa ni Mbunge wa Jimbo la Mbogwe

    MBUNGE NICODEMAS MAGANGA: NILIKUWA DEREVA WA MALORI NA MABASI, SASA NIMEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE "Nimetokea familia ya maisha ya kati sana. Baba yangu ni mkulima na Mfanyabiashara, nimebahatika kuwa mtoto wa nane katika familia yetu. Tulikuwa tunaishi Shinyanga Vijijini lakini baadaye...
  11. Mbeya: Polisi wamsaka Dereva aliyesababisha ajali ya kugonga gari kadhaa ikiwemo Daladala

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamsaka Dereva aliyekuwa akiendesha Gari lenye namba za usajili T.428 DXD/T.860 BWM aina ya FAW mali ya Kampuni ya Cedars Investment Limited ya Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa majina ya Msafiri Mohamed @ Mwawila ambaye amekimbia muda mfupi baada ya...
  12. Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

    Aliyekuwa Dereva na mmiliki wa gari ndogo, Hamis Chaurembo (27) maarufu kama SIMBA ambaye amefariki baada ya kupata ajali mbaya huko Kibondo Kigoma amezikwa jana. Ila kuna cha kujifunza hapa kutokana na maneno ya baadhi ya marafiki zake. "Baadhi ya A.K.A alizopambwa nazo ni pamoja na 'Mwendo...
  13. Hesabu ya dereva wa daladala Baada ya nauli kupanda

    Naomba kujua kama hesabu ya siku ya dereva wa daladala has Dar, inatakiwa ipande kwa kiasi gani ? Kwa sababu vipuri vimepanda bei sana . Nina daladala 3 zinatoka buza hadi mnazi mmoja na kwa siku nakusanya 75000 kwa kila daladala, Niongeze kiasi gani kwa haya mabadiriko ya nauli yalitangazwa .
  14. Natafuta kazi nina Diploma ya IT, Dereva, Data Clerk na Graphic Designer

    Tayar
  15. D

    Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    Habari Tunaongozwa na sheria zilizo expire muda wake! Iko haja sheria ya usalama barabarani ifanyiwe marekebisho kwani ilitungwa zamani enzi hizo Tanzania hatukuwa na barabara za lami na magari ya kutosha! 1. Siyo kila zebra lazima mwenye gari asimame hata kama hakuna mtu, lakini baadhi ya...
  16. A

    DOKEZO Dereva Bodaboda tulionunua ardhi Boko Mnemela tumetapeliwa, tunaomba msaada wa Serikali Kuu

    Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani, yaliyotukuta ni makubwa. Tulichofanya tulioneshwa eneo lenye ukubwa wa ekari 10, tukiwa Bodaboda 50...
  17. Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna. Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida. Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti...
  18. Arusha: Dereva wa Serikali aenda na maiti bar

    Na Malisa GJ Habari kaka. Kuna tukio limetokea hapa Arusha usiku huu limenisikitisha sana. Kuna Familia imepata msiba, wanatakiwa kusafirisha kwenda wilayani kuzika lakini hawana uwezo. Hivyo wameomba msaada wa gari ya serikali kusafirisha maiti. Gari hiyo imebeba maiti na ndugu wachache wa...
  19. Driver at CCTTFA October, 2023

    Position: Driver The Driver to be hired is expected to be highly professional and competent who meets the below merits per the TORs Must be a holder of valid driving license Class Cl; Must have completed Form Four or above and fluent in Swahili and English languages (both written spoken)...
  20. Rais Samia, ruhusu msukumo wa kushindwa ili kuwa huru zaidi! Tanzania bila Udikiteta, haiwezekani

    Inafahamika kabisa kwamba, kiongozi mkuu akiwa strong, hata walio chini wanafuata mle mle, na akiwa vinginevyo, na wa chini nao hivyo hivyo Kama ni gari, imetumika sana na kwa muda mrefu bila kubadirishiwa oil na vifaa vilivyoharibika, na sasa gari limechoka, mwendo wake ni wa sjui tunakwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…