dereva

  1. B

    Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

    Dereva wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Lusajo Makiwelu, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwamwagia kemikali watu wawili akiwemo mtalaka wake, Witness Nguvalwa (31) na mtoto wake mwenye umri wa miezi sita (jina limehifadhiwa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha...
  2. Mr Why

    Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

    Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi. Nilimpa maelekezo kuwa afunge kazi saa tano kamili usiku na baada ya hapo alete gari nyumbani. Alifuata maelekezo yangu lakini...
  3. Sildenafil Citrate

    Kaburengu: Basi laua Dereva na wanafunzi 5

    Huku wanafunzi 5 na dereva wakifariki katika ajali ya Kaburengu, Busia Wanafunzi wengine 6 walipata majeraha na wanapokea matibabu katika hospitali ya kaunti ya Webuye. Ajali hiyo inatajwa kutokea baada ya basi hilo kugongana na lori. Hii ni ajali ya 2 kutokea ndani ya wiki 3 kwenye barabara...
  4. Kamanda Moshi

    Nahitaji Dereva wa Pulling na Semi-trailer

    Habari wakuu, Nina vacant position za madereva wa Pulling na Semi-Trailer. Gari zinafanya local trips na base ya kampuni ni Dar es salaam. Kama wewe ni dereva au unamfahamu dereva mzuri, please ni PM CV yake na number yake ya simu. Kigezo kingine cha kupewa kazi ni kuwa na mdhamini...
  5. MGODOLO

    Wewe dereva au mmiliki, huwezi kupata LATRA ya gari yako kama dereva wako hajajisajili LATRA

    1. HALI IKOJE MKOANI KWAKO Ndugu Madereva au Mmiliki? Nataka kuuliza kuhusu mfumo huu, katika mikoa yenu ukoje, Kanda ya kaskazini, Gari yeyote ya biashara ambayo Dereva husika mwenye Leseni Daraja C1, C2, C3, C, na E. Latra itakapoisha Muda wake katika gari hio, Mmiliki wa chombo hicho hawezi...
  6. Sildenafil Citrate

    Mmiliki na Dereva wa gari yenye usajili T 546 DGV wachukuliwe hatua kali za Kisheria

    Habari wakuu, Hali yangu kiafya siyo njema sana, nikiwa natoka kutibiwa kwenye mojawapo ya hospitali humu jijini Dsm nimekutana na jambo baya linalosikitisha sana. Dereva mmoja mwenye gari iliyo na usajiri wa T 546 DGV (Mimi sio mtaalamu sana wa magari, sijaweza kugundua upesi ni gari aina...
  7. B

    Morogoro: Dereva bodaboda auawa, atobolewa macho

    Dereva wa Bodaboda, Oscar Samuel (36) Mkazi wa Mtaa wa Kilongo B Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro ameuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kutobolewa macho na Watu wasiojulikana. Akiongea na @ayotv_ Mdogo wa marehemu, Huruma Samweli amesema May 31,2023 Oscar...
  8. BARD AI

    Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

    Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika...
  9. Intelligent businessman

    Dereva wa bajaji na pikipiki ya mkataba anahitajika

    Habari wanna jamii forums, katika harakati zangu za utafutaji nami nikaona sio mbaya kuanzisha kikampuni changu kidogo Cha usafirishaji. Lengo ni kuendelea kujikomboa na circle ya umasikini, na hivyo nimeamua kuzitoa bajaji na bodaboda kwa kijana ataye weza kuendana na taratibu na sheria zetu...
  10. M

    Bado ni kitendawili waliofaidi mabilioni ya Justine Kasusura

    Jumapili January 17 2021 Kwa miezi 12 baada ya Ijumaa ya tarehe 2 Agosti, 2001, hakuna jina lililotawala vyombo vya habari kama la Justine Kasusura, aliyedaiwa kupora dola za Marekani milioni mbili (Sh4.4 bilioni) bila kutumia nguvu kubwa. Kiasi cha fedha alichodaiwa kupora, staili aliyotumia...
  11. benzemah

    Mahakama yaridhia kunyongwa aliyemuua Dereva Bodaboda

    Mahakama ya Rufani Morogoro, imetupilia mbali rufani ya Justine Chamashine aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua dereva wa bodaboda, Joseph Frorence 'Msimbe'. Uamuzi huo ulitolewa wiki iliyopita na Jopo la Majaji watatu likiongozwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma. Majaji...
  12. N

    Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  13. King Rabbit

    Natafuta kazi Udereva magari Makubwa/Madogo

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira. Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...
  14. B

    Tabora: Utingo adaiwa kumuua dereva wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Benedicto Modest Mangi aliyekuwa dereva bajaji ya mizigo, Mkazi wa Mtaa wa Usule, Kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani kisha mwili wake kufukiwa kwenye shimo tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi linalodaiwa...
  15. Mwanamayu

    Dereva wa gari okoa uhai kwa kufuata sheria za barabarani

    Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
  16. B

    Katika ajali Ile dereva alijua soon kifo kinatuvaa

    Tarehe 16 September 2016 nilisafiri na Basi la Newforce toka Dar to Songea, Safari ilikuwa nzuri sana toka tunaondoka Ubungo, nakumbuka nilikaa seat no A2, A1 alikaa rafiki yangu ambaye alikufa dakika chache baada ya ajali kutokea Basi hili halikuwa na tatizo lolote maana toka Dsm halikupoteza...
  17. Roving Journalist

    Tarime: Askari Polisi ashikiliwa akidaiwa kumuua dereva bodaboda kwa risasi, RPC asema Askari anastahili kuwajibika

    Jeshi la Polisi linamshikilia askari wake mwenye utambulisho wa H 4489 PC Kululetela, kutokana na kosa la kumfyatulia risasi iliyomjeruhi hadi kumsababishia mauti mwendesha bodaboda, Ng'ondi Marwa (22), mkazi wa mjini Tarime. Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Polisi Tarime Rorya, ACP Geofrey...
  18. GENTAMYCINE

    Ni dalili gani za haraka za Kumjua anayeendesha Gari ni Dereva tu (si lake) na Mmiliki halisi wa Gari?

    Kuna Mtu nimepishana nae akiwa katika Harrier matata sana huku akiwa na Mikogo yote (kama ya Watani zangu Wakubwa Wahaya) cha Kushangaza baada ya Nusu Saa nimekutana nae Ubungo anapakia Magunia ya Pumba za Kuku huku akiwa Kavua Shati kutokana na Joto Kali la Dar es Salaam sasa (ambalo TMA...
  19. S

    Unanishauri nini mimi dereva ninaeanza kuendesha Uber na Bolt?

    Ndugu zangu katika kupambana na maisha kijana mwenzenu hatimaye nimepata IST na nimekamilisha taratibu zote za kuanza kufanya kazi ya Uber na Bolt. Gari ni yangu japo si mpya sana ila bado nzima kabisa nimefunga na AC. Sasa kwa kuwa ndio naanza najua kuna mengi natakiwa kujifunza. Ningeomba...
  20. G

    Ewe Dereva hasa mgeni wa safari ndefu, ukikuta kuna mtoto ama mtu katikati ya barabara eneo ambalo ni porini usithubutu kupita pembeni

    Weka pembeni mambo ya movies, haya mambo ya mauza uza yapo kitambo, yapo hata katika biblia na kuran na tumeonywa tusiyachukulie poa. Sio stori ni vitu real hivi, upo zako kwenye safari mara paap! kuna kitoto ama mzee yupo katikati ya barabara, tena yupo katikati sehemu ambayo akilini kmwako...
Back
Top Bottom