Akizungumza na kituo cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng'azi amesema wameanza uchunguzi kubaini sababu za dereva wa basi la Simba SC kuendesha basi hilo reverse (Kinyumenyume) wakati akielekea katika dimba la Mkapa kwenye mchezo wa klabu...
Adui zetu wakubwa barabarani sio Polisi bali ni Madereva wenzetu.
Kusema kweli adui zetu wakubwa barabarani ni madereva wenzetu kuliko hata hao Polisi tunaowaona maadui. Dereva anatumia nguvu nyingi kuchukua tahadhari dhidi ya Polisi kuliko hata dereva mwenzake. Kwa nini Polisi baadhi yetu...
Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam.
Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
Wakuu!
Jana asubuhi nilikuwa maeneo ya Kimara Temboni Upande wa kuelekea Mbezi huwa zinapaki Bajaji pamoja na Bodaboda kwa wingi, Kwa ndani kidogo kuna round about halafu kuna Mgahawa, nilienda kujipatia kifungua kinywa. Baada ya muda mfupi lilikuja basi la Mwendokasi lenye namba T 557 DWR...
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.
Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na...
Hivi unajua kwa 90% madereva wamekua chanzo cha biashara ya usafirishaji kufa. Haya ndio mambo unayotakiwa kuzingatia wakati wa kuajiri dereva
Uzoefu wa Dereva; Bila kujali watakua wakiendesha nn, ni muhimu kuangalia uzoefu wao. Ikiwa unatafuta mtu anaeweza kufanya kazi katika jiji la Dar es...
Wadau nina gari 3 ambazo nakodisha kwa watu moja ni Toyota Rumion, Toyota Crown na Toyota IST. IST na Crown zimeshapata watu ambao watakuwa wanazitumia.
Imebaki RUMION. Dereva unapewa anakuendesha unapoenda popote ndani ya nchi. Mafuta ni juu yako ila utalipa pesa ya kukodi ambayo sasa...
Habari za mchana?
Kuna shule ya watoto wadogo nursery school iliyopo wilayani Muheza Tanga inatafuta madereva 2 wa kuendesha Hiace za shule.
Sifa kubwa awe anajua kuendesha vizuri na kuwa na leseni hai Class C.
Awe na upendo kwa watoto wadogo.
Itapendeza sana endapo atapatakana mkazi wa...
Ndugu Zangu Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais Mama Samia Ni Dereva Mahiri na shupavu Sana katika kuliendesha gari hili la Safari ya maendeleo ya Tanzania, Ni dereva Ambaye ameonyesha umaridadi na uzoefu wa kuendesha gari,ameonyesha umakini mkubwa katika safari,ameonyesha kuwajari abiria...
Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
Polisi walimkamata dereva huyo baada ya uchunguzi wa awali wa kiwango cha Ulevi kuonesha alikuwa ametumia Dawa za Kulevya.
Watu 14 walionusrika kwenye ajali wamesema Dereva wa basi lilotumbukia kwenye mfereji katika eneo la Nile Delta Nov 12, 2022 alikuwa akitumia Simu huku akiendesha...
Hello!
Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri.
Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961.
Nipo Kigamboni
Mwenye uhitaji wa Dereva anaye peleka magari madogo mikoani na mipakani nipo kwa ajili hiyo, bei zangu rafiki sana na nafanya kwa uaminifu mkubwa sana.
Napeleka magari yanayotoka bandarini na kuyapeleka kwa wahusika pia napeleka yale ya transit hadi mpakani. Bei zangu ni kama ifuatavyo:
1...
Kumetokea ajali inayohusisha basi la Mwendokasi na mtembea kwa miguu.
Ajali imetokea ahsubuhi hii kwenye barabara ya Mwendokasi mbele ya Hoteli ya Kempiski Hyatt
Zamani Kilimanjaro Hotel.
Basi la Mwendokasi likitokea Posta ya Zamani, dereva wake hakujali kivuko cha watembea kwa miguu alimgonga...
Habari wana Jamvi,
Najua wengi wetu humu ni watumiaji wa usafiri wa bodaboda na kama sio basi tunawajua hawa madereva wa hivi vyombo vya moto.
Okay, ebu kutokana na hiyo picha hapo juu, Huyo kijana alivyonyoa na muonekano wake kwa nyuma taja sifa zao hapa, na pia kuna wajuzi zaidi wanaoweza...
Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia Septemba 29, 2022 ambapo kwa sasa dereva huyo anapatiwa matibabu chini ya ulinzi wa Polisi kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo.
Tamko la faini limetolewa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Ignas Gara ambapo Twiga aliyegongwa...
Matumizi ya zebra kwa waendao kwa miguu maeneo yenye taa, yanaongozwa na taa za barabarani. Na hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 65(7)(b) na 65 (8).
Jukumu la kuheshimu taa za barabarani ni la watumiaji wote wa barabara na sio magari tu. Hivyo basi, kwa mujibu wa kifungu cha 65 (7)(b) muenda...
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake.
Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.