Desktop inauzwa Moshi mjini.
Imetumika mwaka mmoja tu
Cpu yake (Type) ni Packard Bell
Ram 4GB
HDD Ni 500 GB
Processor Type ni AMD 1.4GHZ
Bei 300K Full set.
Haina tatizo haijawahi kufunguliwa naiuza kwa sababu ninataka kununua laptop.
Karibu inbox for more information.
Namba yangu 0779756097
nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
- Used deskop inauzwa
- monitor inch 22 DELL
- CPU HDD 500 HP
- keyboard, mouse, wire zote zipo
- Bei 200,000 (laki mbili)
- contact: 0712518770
-eneo ilipo ni Temeke.
Wale woote wanaohitaji laptop za kuanzia laki mbili na nusu, zimekuja zipo pc 3
Sifa zake ni: hdd 80,ram 2gb,3 hours battery, warranty one year, bei tzs 250,000
Tupo Kariakoo , pia tuna tawi mbezi mwisho stand. Pia unaletewa ulipo Dar es salaam na mikoani tunatuma.
Piga :0713 03 98 75 kuwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.