Kumekuwa na discussion kuhusu kuchanganya dini na siasa. Kusema kweli jambo hili limafikirisha sana.
Askofu Desmond Tutu wa Afrika ya kusini alisimama na waafrika kupinga sera za ubaguzi wa rangi huko Afrika ya kusini. Ukombozi wa mtu mweusi umekuwa ukipiganiwa na maaskofu miaka mingi.
Hapa...
Jfteam
Taifa tuna hazina kubwa ya watu wanaofaa kuwa washauri wa viongozi wakuu.
Katika taifa letu namlinganisha Askofu Niwemugizi wa Ngara - Tanzania na hayati Archbishop Desmond Tutu wa Africa ya Kusini. Ni watu wasiojua kula maneno, kujikomba wala kujipendekeza. Mara zote huongea hisia za...
Juni 11, 2010, katika Uwanja wa FNB maarufu “Soccer City", kulikuwa na ufunguzi wa Kombe la Dunia. Siku hiyo, Desmond Mpilo Tutu, alikuwa kwenye kiwango bora cha furaha. Kwa Kiingereza unaweza kusema “he was in a very good mood”.
Tutu alikuwa amebakiza pungufu ya miezi minne atimize umri wa...
Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa vya TV, kama vile SABC, CNN, BBC, Sky News na Al Jazeera...
Shujaa mpenda haki ametutoka.
Tributes kwa maisha yaliyopotea zinapoendelea kumiminika tuna mengi ya kujifunza.
Hizi hapa ni za Mh. Samia:
Salamu hizi zimewaamsha watema nyongo kwa misingi hii hii:
Tofauti kabisa na salamu za wengine.
Sisi tunakwama wapi? Ni kweli hatupajui?
Dunia imeondokewa na Kiongozi mkuu wa kiimani aliyepambana kutafuta haki. Taarifa za kifo chake zimetolewa Leo hapa South Africa na Mhe. Rais wa S.A, ni kilio na simanzi lakini pia ni furaha kwa kiumbe huyu aliyesimama upande wa haki.
Huko Tanzania ujumbe wa Christmas uliotolewa na Dr. Shoo...
Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90.
Tutu aligundulika kuwa na saratani ya kibofu mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa kwa maradhi yanayohusiana na...
HUYU NDIYE ASKOFU MKUU DESMOND TUTU
Happy Birthday kwako Profesa Emeritiusi Muadhama Askofu Mkuu Dkt. Desmond Mpilo Tutu, Askofu Mkuu mstaafu wa Capetown, Kanisa Anglikana Afrika Kusini na Katibu Mkuu mstaafu wa Jumuiya ya Makanisa ya Afrika Kusini. Kupitia sauti yako dunia ilielewa uovu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.