developer

  1. Mwenyeji wa Dar Nakuhitaji Unisaidie: Natengeneza App Itakayosaidia Watu/Wageni Wa Dar Wasipotee

    Habari wana Ndugu, Nilishawahi Kupotea Dar Nina Pesa Mkononi,Naona Daladala Zinapita Lakini Sijui Nipande Ipi Ili Nifike Ninapokusudia Ghafla Paap! Naona Mdada Kasimama Mimi:Mambo Samahani Dada (Huku Nikiwa na Kiaibu cha Kuuliza Ofkoz Kuna Kiaibu fulani Ukiwa Unauliza ) Hivi Hapa Nikitaka...
  2. 3

    Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
  3. Nahitaji apple developer accounts

    Mambo vipi wakuu Kwa waliowahi miliki Apple developer accounts kwa ajiri ya kupublish app zao app store Nahitaji account hizo kwa offer nzuri Asante.
  4. If you know it, you know it—Google Developer 🙌🏾

    Google Developers wamekuja na ubunifu wa kipekee! Mtumiaji anapotafuta Squid Game Season 2 kwenye ukurasa wa kutafuta, kuna pop-up ya ile business card iliyotumika kwenye Squid Game Movie. Mtumiaji anapobofya, inafungua game la kwanza kutoka kwenye Squid Game movie. Hii ni njia ya ubunifu...
  5. G

    Ajira: Junior software developer

    Role Overview Gilgal Tech is seeking a passionate and talented Junior Software Developer to join our growing team. The ideal candidate will specialize in Python and web development (or full-stack development). Candidates with a background in graphic design will have an added advantage...
  6. Naomba msaada kuverify google developer account

    Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa Google developer sijui wanataka Nini Msaada account yangu ipo suspension Msaada kwa mwenye uzoefu
  7. M

    Je wewe ni developer Unatumia Languages kazi ku develop projects zako?

    Hope mko poa. Now days mambo yamekua marahisi sana tuna autosourcing nyingi za kujifunza ila tatizo ni kuchagua Luga sahihi kwa mda sahihi Sasa leo nataka nikuandike lugha za kujifunza . 1.Kama wewe ni web developer soma Java, python na typescript Framework Django React, Express-node...
  8. S

    Tupeane nondo kwa waliowahi fanya usaili nafasi za data analyst na system developer

    Naombeni msaada mfano wa maswali kwenye written interview kwa waliowahi kufanya interview kama data analyst, pia system developer angalau tupate pa kuanzia
  9. Trade Developer at EA Foods October 2024

    Job type: Full-time Client Activation Identify and activate new clients within the assigned territory. Ensure proper onboarding and registration of clients. Customer Complaints Handling Address and resolve customer complaints in a timely and professional manner. Collaborate with the...
  10. Consultant Citizenship and Leadership Academy Content Developer at JamiiForums (October, 2024)

    DEADLINE EXTENDED Position: Consultant needed for Citizenship and Leadership Academy Content Development JamiiForums, in partnership with WiLDAF via the USAID's Wanawake Sasa Project, is seeking a Content Development Consultant to create engaging, inclusive training modules and promotional...
  11. kama kuna software developer na data engineer anayeweza kufanya yafutatayo naomba anipe namba yake PM nimconnect na client

    We are looking for a software developer and a data engineer who can perform the following functions *Design and implemented ETL pipelines for processing low-resource language data(Yoruba) ● Develop data cleaning and transformation scripts to prepare datasets for machine translation models ●...
  12. M

    Data science and fullstack web developer

    Wakubwa nilikuwa naomba kwa anaejuwa kati ya data science na fullstack web develpmnt. Ni ipi inasoko sana kwa tanzania na hata nje pia?
  13. C

    Typescript developer

    Wakuu kwema nataka mtu anayejua Typescript vizuri kabisaa Vigezo awe anajua Typescript Anionyeshe projects alizofanya kwa typescript Awe anajua node js
  14. G

    Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  15. N

    Natafuta intern ya Software Developer

    Habari Jamii! Ninatafuta fursa ya kazi ya intern software developer(paid). Katika ajira yangu ya awali nimefanya kazi kama IT Support specialist lakin ninataka kubase kwenye coding kwasababu ninafurahia kufanya coding. Skills ambazo nimejifunza na ninazielewa hadi sasa japo bado naendelea...
  16. Natafuta Google Developer Console

    Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye Google Developer Console niweze kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06
  17. C

    Marejesho Mimi ni software Developer mwenye idea aje tulifanyie kazi

    Wakuu kwema? kuna Post yangu nilileta hapa kuwa kama una idea yeyote tuje tuifanyie kazi for free bila malipo yeyote Nimefunga huu mjadala rasmi.. sipokei tena maombi nimepokea request nyingi saana nyingine nimezikubali na nyingingine nimezikataa kuna watu nimefanya nao kazi huku...
  18. Nahitaji developer nitayefanya naye kazi zangu

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji developer anayejua kudesign website nitayefanya nae kazi zangu tafadhali nicheki inbox chap
  19. Developer Account Azam Pay

    Habari na poleni na majukumu wanajukwaa, Hivi karibuni nimekuwa nikijihusisha na kutengeneza web applications zinazojumuisha maswala ya malipo. Kwa kipindi hicho chote, nilikuwa natumia APIs za Stripe. Kama mnavyojua, Stripe ni ya nchi za magharibi hivyo ukiwa nchi zetu hizi mara nyingi utaweza...
  20. Software Developer Cum Development Operations Engineer at Mwiba Holdings Limited February, 2024

    Position: Software Developer Cum Development Operations Engineer Role Summary: A Software Developer cum Development Operations Engineer is responsible for building and maintaining systems, implementing daily code changes based on emerging insights. This role involves overseeing software...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…