developer

  1. Senior Software Developer at Tabono Consult January, 2024

    Position Title: Senior Software Developer Consultant Work station: Dar-es-salaam, Tanzania Employment type: Contract based Duration: 12 Months Application deadline: 27th January 2024: 1700hrs Job Duties/Responsibilities: Confirms project requirements by reviewing program objective, input...
  2. C

    Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5 ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS, pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring. lengo la...
  3. Full Stack Developer Needed

    Habari Naitaji Full Stack Javascript Developer Or ( Front end na back end mkafanya team ) Pamoja Na Mob Developer ( Flutter or React Nqtive Dev ) Call: 0678650509 NB: Lazima muwe based on Dar Es Salaam
  4. Kwa wenye iphone, Naomba mnisaidie kunitajia ios version zenu 🙏

    Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones). Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia. Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia...
  5. Software Developer (4 Posts) at Jumla Africa September, 2023

    Position: Software Developer (4 Posts) Location: Arusha, Tanzania Duration: Full Time Key Responsibilities – Maintain and develop the existing Management Information System comprising of Apps and Web Applications each sharing data across each other. – Collaborate with sales and marketing...
  6. Framework gani ya backend inafanya uwe productive zaidi? Laravel / Django

    Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django? Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend lakini pia nimefanikiwa kutumia serverless backends (Firebase &, Supabase). Changamoto kubwa ya node...
  7. Software developer

    Haya macoder Fursa hiyo changamkieni
  8. Nimeachana Rasmi na Flutter. Sasa ni ios/SwiftUI

    Baada ya kutumia Flutter kwa takribani miezi 6. Nimeamua kuachana nayo rasmi na kufanya Native Mobile App Development. Hii ni kutokana na kutoridhishwa na performance ya Apps zinazotengenezwa kwa Flutter kulinganisha na Native Apps. Kwa sasa nina wiki moja tangu nianze kujifunza kutengeneza...
  9. Fundraiser / Business Developer at The Accessibility Institute

    Position: Fundraiser / Business Developer The Fundraiser / Business Developer will · Research for prospect donors: Family Foundations, CSR Programs, HNWI who focus on disability, and/or poverty alleviation in East Africa. Initiate, develop and manage the relationship with these donors ·...
  10. Anahitajika CRM Developer (Ya Kiswahili).

    Natafuta mtu anayeweza kutengenezea CRM ya kiswahili. Iwe web based na app. Iwe nyepesi na inayoweza kuload haraka hata kwa internet isiyo strong. Hosting na kila kitu inakuwa kwenye servers zetu wenyewe. Parameters tayari zipo ni ku customize na kuifanya kuwa rahisi kutumia. Tayari tumekuwa...
  11. Website developer (wordpress developer) Natafuta Kazi

    Habari wanajf, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni self taught web/wordpress developer Natafuta kazi kama website/wordpress developer Niko tayari kufanya kama freelancer,part time, remote au full time. Kama unamjua mtu yeyote mwenye connection ya kazi, au unaijua web development...
  12. Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

    Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi. Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea
  13. Naombeni mchango wa mawazo juu ya hii Project.

    Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza. Kwa sasa...
  14. T

    Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
  15. Natoa huduma za Website and Mobile Application Development

    Price yangu ni affordable na ya makubaliano. Nina Business Centric Approach, yenye lengo ya kuipush idea yako ifanikiwe kwenye market ikiwemo na ushauri wa bure jinsi gani inaweza fanikiwa. Technologies ninazotumia; 1. Laravel (version 6 up to 8) 2. Vuejs(Version 2 up to 3) 3. Database(Mysql)...
  16. Employment Opportunity-Computer Systems Developer

    About US Tzhosts is a Tanzania company that specializes in development, deployment and management of digital solutions for small and medium size businesses. We offer services and solutions across the areas of Digital Marketing, Web development, Mobile Applications development, Systems...
  17. Natafuta Web Developer

    Hello, habari pole na majukumu wakuu. Nimekuja mbele yenu natafuta Web Developer ambaye yupo competent tufanye kazi, malipo kila kitu tutamalizana. Kama una ndugu, jamaa au rafiki nipe connection naye tufanye kazi.
  18. Software Developer, Anayetaka

    Mimi ni mtaalamu wa kutengeneza mifumo lain ya Computer (Software Developer), Kwa yeyote anaye hitaji website, blog na mifumo ya ofisi nicheki tufanye kazi. 0621012703
  19. Jinsi ya kuwa software developer (self-taught)

    Wanajamii Tech ningependa kujua jinsi ya kuwa software developer kwa kujifunza mwenyewe I mean language (s) course, resources n.k Pia kwa hapa nchini naona community iko ndogo Sana sijui ndo kuwa kwenye Giza au la madeveloper Sion hata community hakuna sijui imekaaje hapa. Okay turudi kwenye...
  20. Nahitaji flutter App Developer

    Habari wanajamvi, Natafuta Flutter App developer wa kutengeneza 1. Main App 2. Partners app 3. Admin panel Hzo app mbili (moja ni kwa ajili ya users, yapili ni kwa ajili ya Partners , kama Uber na uber ya madereva) Design za App zote ziko tayari, Ni kuandika code TU. Maelezo mengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…