dhamana kwa bodaboda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni sahihi kumpa pikipiki kwa dhamana ya hati ya nyumba?

    Kuna kijana nataka nimnunulie boda boda anipigie kazi. Nimemwambia aje na mzamini na alete hati ya nyumba kama dhamana. Sitaki masihara, hawa vijana huwa wanakuja mikono nyuma baadae anabadilika kama siyo yule. Kama nakosea semeni nimpe masharti gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…