Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 348 Feb 11, 2023 #1 Kuna kijana nataka nimnunulie boda boda anipigie kazi. Nimemwambia aje na mzamini na alete hati ya nyumba kama dhamana. Sitaki masihara, hawa vijana huwa wanakuja mikono nyuma baadae anabadilika kama siyo yule. Kama nakosea semeni nimpe masharti gani?
Kuna kijana nataka nimnunulie boda boda anipigie kazi. Nimemwambia aje na mzamini na alete hati ya nyumba kama dhamana. Sitaki masihara, hawa vijana huwa wanakuja mikono nyuma baadae anabadilika kama siyo yule. Kama nakosea semeni nimpe masharti gani?
Tuagize JF-Expert Member Joined Dec 5, 2021 Posts 287 Reaction score 716 Feb 11, 2023 #2 Endesha mwenyewe
Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 348 Feb 11, 2023 Thread starter #3 Tuagize said: Endesha mwenyewe Click to expand... Ha ha ha wale wale
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,720 Reaction score 5,286 Feb 11, 2023 #4 Duh boda na hati ya nyumba wapi na wapi?
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,646 Reaction score 36,604 Feb 11, 2023 #5 Boda boda bila kuendesha mwenyewe utawapa watu lawama tu
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,941 Reaction score 31,907 Feb 11, 2023 #6 😀😀😀😀aah wewe