Timu ya mawakili wa Lil Durk iliwasilisha ombi mahakamani, wakitaka rapa huyo apewe kifungo cha nyumbani. Timu hiyo ilitoa ofa ya dhamana yenye thamani ya $3.3 milioni (sawa na takriban Tsh bilioni 7.8), ambayo ilijumuisha:
Nyumba mbili za Lil Durk zilizopo Georgia zenye thamani ya $2.3 milioni...