dhamana

Dhamana is a village in Hansi-I mandal of the Hisar district, in the Indian state of Haryana. It is in between the towns of Hisar and Tosham at about 20 kilometres (12 mi) on the Main District Road 108 (MDR 108). Dhamana is fifth village on Hisar-Tosam road, first is Dabra, Second is Mirkan, Third is Bhojraj, Four is Gunjar.

View More On Wikipedia.org
  1. Wafujo

    Naomba kukopeshwa Milioni 5 dhamana hati ya nyumba

    . .
  2. comte

    Hivi nana hasa mwenye mamlaka na dhamana ya watuhumiwa wakiwa mbele ya mahakama?

    Kheri ya EID. Nitafurahi kama tutasaidiana kutafuta ufumbuzi hasa wa nani ana mamlaka na dhamana ya mtuhumiwa awapo mbele ya mahakama. Natanguliza shukrani
  3. B

    DPP mpya Slyvester Mwakitalu ni muumini wa mamlaka ya DPP kunyima watu dhamana, atabadilika?

    Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana...
  4. J

    Je, ukishikiliwa Kituo cha Polisi unaweza kupata dhamana?

    Inategemea umekamatwa kwa kosa gani, kwa mfano ukikamatwa kwa makosa ya mauaji, Uhaini, makosa ya kutakatisha pesa, kunajisi, wizi wa kutumia silaha kufanya biashara ya madawa ya kulevya au ugaidi miongoni mwa makosa mengine huwezi kupata dhamana. Ikiwa umekamatwa kwa tuhuma za makosa mengine...
  5. J

    Cheo ni dhamana: DC amekuwa Katibu mkuu CCM na RC amekuwa Naibu Katibu mkuu, siasani siyo jeshini!

    Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  6. Erythrocyte

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu TPA, Deusdedit Kakoko aachiwa kwa dhamana baada ya TAKUKURU kukamilisha Uchunguzi dhidi yake kwa 98%

    Hii ndio taarifa ya TAKUKURU iliyotolewa kwa vyombo vya habari , na kwamba hizo 2% zilizobaki zitakamilishwa na ofisi ya CAG Hakuna Taarifa kama atafikishwa Mahakamani au la . Tuendelee kufuatilia . ==== Takukuru yamwachia ‘bosi’ bandari, “waulizwe CAG” MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  7. O

    Utafsiri wa Sheria na hatma ya Haki nchini Tanzania

    MAKOSA YA JINAI YASIYO NA DHAMANA YANADHAMINIKA (Non Bailable Offences are Bailable) Obadia Kajungu, Esq. ADVOCATE. Dibaji (Forewords) Sisi wanasheria ndiyo kikwazo cha haki nchini Tanzania na hii ni kwa sababu tumeacha kuzitendea haki sheria kwa kushindwa kuzitafsiri sambamba na matakwa ya...
  8. Papaa Mobimba

    Judith Kapinga (Mbunge CCM): Kosa la Uhujumu Uchumi limerahisishwa sana nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha kuwashinikiza kukubali makosa

    Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana. Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa.
  9. jitombashisho

    Angalizo: CCM ni CCM; lazima yeyote iliyompa dhamana aelewe sera na matakwa yake

    Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake. Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo, sera na miiko yake. CCM haitamvumilia yeyote yule atayekiuka kwayo yale yawayo mahitaji ya wakati...
  10. sanalii

    Ni computer (system) gani inayochukua siku nne kufanya mabadiliko? Kwanini waziri mwenye dhamana asiwajibishwe?

    Kuna watu wanaleta utetezi kua mitandao ambaayo haijabadilisha vifurishi ni kutokana na suala la programing, pia kwenye gazete wanasema inaeeza kuchukua siku zaidi ya nne, mpaka leo hii bado mitandao hiyo haijabadilisha vifurushi. 1. Je, ni kweli wataalamu wa serikali wanaamini kua system...
  11. Z

    Uongozi ni dhamana nzito kwa mwenye hofu ya Mungu

    Uongozi sio kitu cha kukimbilia wala kukihangaikia. Kwa mtu yeyote yule mwenye hofu na Imani kwa Mungu huwa hana tabia ya kukimbilia au kuhangaika kutafuta vyeo kwa sababu anajua kuwa cheo ni dhamana kubwa sio tu kwa Binaadamu mwezako bali Kubwa zaidi kwa Mungu. Hupaswi kufarahia sana unapo...
  12. Queen V

    Joseph Gandye wa Watetezi TV aachiwa kwa dhamana, hatima yake kujulikana Jumatatu Agosti 26

    MWANDISHI Joseph Gandye, Mhariri wa Maudhui wa Watetezi TV ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi mkoani Iringa, alikokuwa anashikiliwa kwa kosa la kuchapisha habari za uongo mtandaoni. Gandye ameachwa huru jioni ya leo tarehe 24 Agosti 2019 baada ya kutimiza sharti la kuwa na mdhamini...
  13. Davion Delmonte Jr.

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    UTAJIRI MKUBWA ULIOPO KWENYE UWEKEZAJI WA DHAMANA ZA SERIKALI Uwekezaji kwenye dhamana za serikali umegawanyika makundi mawili. i) Dhamana za muda mfupi (treasury bills) ii) Dhamana za muda mrefu (treasury bonds) Kwa nchi yetu ya Tanzania biashara ya dhamana za serikali inasimamiwa na...
Back
Top Bottom