dhamana

Dhamana is a village in Hansi-I mandal of the Hisar district, in the Indian state of Haryana. It is in between the towns of Hisar and Tosham at about 20 kilometres (12 mi) on the Main District Road 108 (MDR 108). Dhamana is fifth village on Hisar-Tosam road, first is Dabra, Second is Mirkan, Third is Bhojraj, Four is Gunjar.

View More On Wikipedia.org
  1. Kungi jr

    Mikopo ya dhamana ya kadi ya bank

    Naomba kufahamishwa Kama nimeshindwa kulipa mkopo ambao dhamana yake ulikuwa ni kadi ya bank... Kisheria inakuaje??
  2. Lady Whistledown

    Ethiopia yamuachia Jenerali Mamo kwa dhamana

    Aliyekuwa Jenerali wa jeshi la Ethiopia ambaye alikamatwa katika oparesheni ya kutekeleza sheria, mnamo mwezi uliopita, kwa kuwa polisi walimshuku kwa kujaribu kutengua utaratibu wa kikatiba nchini humo, ameachiliwa kwa dhamana. Jenerali Teferra alikuwa kamanda wa kikosi maalum cha Amhara...
  3. sanalii

    Malezk: usimuwekee dhamana mtoto wako

    Baadhi ya wazazi out of love or foolishness wanamuamini mtoto undoubtably wakimchukulia kama malaika mtoto hadi kufikia hatua ya kutokuamini baadhi ya makosa yanayoripotiwa juu ya mtoto au hatua ya kutofikiri kwambaa huenda mtoto ana abc ambazo si njema. Kuna muda yule mtoto anaeonekana ni...
  4. JanguKamaJangu

    Haki ya Dhamana kwa Mtuhumiwa na maana yake

    Dhamana ni haki inayopata msingi wake katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 ambayo ina dhana inayotamka kwamba mtu hatochukuliwa kuwa mwenye hatia mpaka tuhuma zithibitishwe dhidi yake, Ibara ya 13(6) (b). Ili kuzingatia dhana hii ni muhimu kumruhusu mtuhumiwa kwa kumpa dhamana...
  5. Kinoamiguu

    Matangazo ya Kamari kwenye radio zetu: Waziri mwenye dhamana chukua hatua

    Habari za muda wadau. Mimi ni mdau na msikilizaji wa hizi radio za masafa marefu fm radios Nasikiliza baadhi ya vipindi kwani vipindi vyao vingi havina maudhui niyapendayo ya habari. Utafiti wangu nimegundua kwamba katika vipindi hivi vichache ninavyosikiliza matangazo ya KAMARI NI MENGI SANA...
  6. Roving Journalist

    Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

    Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
  7. Roy Logan

    January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

    Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini. Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja...
  8. B

    Waliopewa dhamana ya kutunza mikataba ya Siri ya rasilimali za nchi wamenyimwa dhamana yakushiriki majadiliano kabla ya mikataba

    Tanzania ni nchi pekee ambayo wanaotunza nyaraka za mikataba nyeti ya rasilimali za nchi siyo sehemu ya majadiliano na uandishi wa mikataba hiyo. Hivyo waliopewa dhamana ya kuhifadhi nyaraka hizi wamevaa nafsi ya uadilifu lakini wanachohifadhi hakina uadilifu. Kwa mantiki nyingine mahali...
  9. M

    Wakili Peter Madeleka ameachiwa kwa dhamana ya Polisi, ameteswa sana kupata kipigo kisichofaa

  10. Miss Zomboko

    Polisi Njombe: Ukimuita mwenzio Mchawi unakwenda jela miaka 7 bila dhamana

    Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana. Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na...
  11. JanguKamaJangu

    Upelelezi kesi ya ‘Mfalme Zumaridi’ haujakamilika, wawili watoka kwa dhamana

    Upelelezi wa kesi ya usafirishaji haramu wa binadamu inayomkabili Diana Bundala ‘Mfalme Zumaridi’ haujakamilika, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Mwanza, imeelezwa leo Alhamisi, Aprili 14, 2022. Zumaridi na wafuasi wake 83 wanakabiliwa pia na shtaka la kushambulia na kuzuia maofisa wa Serikali...
  12. BigTall

    ‘Mfalme Zumaridi’, wenzake wafikishwa Mahakamani, akwama kupata dhamana

    Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 83 leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali ya mashtaka yanayowakabili. Zumaridi na wenzake wanakabiliwa na makosa matatu ikiwamo ya usafirishaji haramu wa binadamu, shambulio...
  13. S

    Utaratibu wa kumuwekea mtu dhamana kwa kutumia Mali(mfano hati ya kiwanja), mahakamani ukoje?

    Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje? Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini mtu? Kwa maneno mengine, hati ya kiwanja inaweza kutumika kumdhamini mtu mahakamani na hufanyika...
  14. VAPS

    Wizara ya Ardhi, undeni timu ndogo watalaamu iwape mapendekezo kuondoa dhuluma na kadhia hii

    Hongera Mh. Mabula, na Mh. Ridhiwani Lipo tatizo la sheria mortgage dhamana kuuzwa na wadau wakopeshaji kwa Bei za hasara na kutokujali kutambuliwa juhudi za awali mdaiwa alivyopambana. Hii inapelekea kuongeza umaskini na kudumaza sector ya biashara. Nashauri undeni team ndogo watalaamu iwape...
  15. Pascal Mayalla

    Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma

    Wanabodi, Karibu, Nipashe ya leo Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
  16. B

    Mbatia, Ndugai atafika mbele ya Bunge Februari kujiuzulu, ameanza kujiuzulu dhamana aliyokabidhiwa na chama kwa sababu hiki siyo kipindi cha Bunge

    Ni kweli Katiba inatamka kwamba Spika atajiuzulu mbele ya Bunge, na nikweli kabisa kwamba Spika alipaswa kujiuzulu mbele ya Bunge. Lakini ukweli uliowazi kwamba yeye kiu ya kuongoza Bunge imeisha kipindi ambacho hakuna Bunge linaendelea. Ilikuwa haiwezekani kujiuzulu mbele ya Bunge maana ilo...
  17. R

    Je, BRAC ni taasisi "genuine" ya utoaji mikopo?

    Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na...
  18. Chendembe

    Ningekuwa mwenye dhamana, busara ingenielekeza kuunda tume huru kuchunguza tuhuma zilizotolewa Mwingira

    Moto hauzimwi kwa petroli, Moto unazimwa kwa maji, mchanga na vitu ambavu si vilipuzi. Serikali ndio mlinzi wetu kwa kutumia vyombo vyetu vya usalama. Kwa vyovyote vile, haiingii akilini mtu kutuhumiwa na kujipa kazi ya kuhoji au kuchunguza. Majibu ya uchunguzi wa namna hii unaleta maswali...
  19. C

    Mkopo wa dharura unahitajika. Dhamana ni nyumba iliyopo Dar es Salaam

    Ndugu zangu, nimefikiwa na watu wanahitaji shilingi milioni tano (5,000,000) kwa shughuli za kibiashara. Wanasema wako tayari kulilpa mkopo huo kwa riba ya miezi miwili. Nilipowahoji, ili kuwasaidia, wakasema 1) Wanamazao yao ya biashara wanatakiwa kuyaweka sawa na kuyafikisha sokoni kabla...
  20. Yesu Anakuja

    Armed Robbery sasa ina dhamana Tanzania

    Kwa wale wanasheria wenzangu, mnakumbuka kesi ya Dickson Paulo Sanga, Rufaa ya madai Na.175 ya 2020 Mahakama ya Rufaa (DSM) ilitoa miezi 18 sheria kubadilishwa kwa ujambazi wa kutumia silaha ili iwe na dhamana, miezi hiyo 18 imeisha November, 2021, endapo kwa kipindi hicho sheria itakuwa...
Back
Top Bottom