Habari, zenu wanajukwaa,
Naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na mikopo ya bank au hizi microfinance
Je, kuna uwezekano wa mtu kupata mkopo ikiwa si mwajiriwa,hana biashara rasmi kwa maana ya wanavyotaka wao leseni, mauzo sijui kwa miezi 6 nk.
Nahitaji mkopo kupitia dhamana ya nyumba au...