dhamana

Dhamana is a village in Hansi-I mandal of the Hisar district, in the Indian state of Haryana. It is in between the towns of Hisar and Tosham at about 20 kilometres (12 mi) on the Main District Road 108 (MDR 108). Dhamana is fifth village on Hisar-Tosam road, first is Dabra, Second is Mirkan, Third is Bhojraj, Four is Gunjar.

View More On Wikipedia.org
  1. Askari wanaodaiwa kuiba Tsh. Milioni 90 wakosa dhamana

    Askari watatu wa Jeshi la Polisi nchini akiwemo mwanamke, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la unyang'anyi wa kutumia silaha na kujipatia Sh90 milioni, mali ya Grace Matage. Askari hao ni mwenye namba F 7149 D/ Coplo Ramadhani(42) maarufu kama...
  2. IMF: Serikali za Afrika ziache kuchukua Mikopo kwa dhamana ya Rasilimali za Nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #KristalinaGeorgieva ameunga mkono wito wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaozitaka nchi za Afrika kuacha utaratibu wa kufungamanisha Mali Asili za Nchi kipindi zinapoingia mikataba ya Mikopo. Kwa upande wake Rais wa #AfDB, Dkt...
  3. Kauli za viongozi wa Serikali zimekosa uaminifu na utambuzi wa dhamana ya CCM kama chama

    Rais wa nchi ni mwanachama wa CCM, amebeba dhamana na kutenda kwa niaba ya CCM, yeye ni mwenyekiti wa chama, Rais wa Serikali ya CCM. Utambulisho wa Rais haupo katika ubinafsi bali yupo katika hali ya uwakilisho jumuishi na shirikishi. Viongozi wa Serikali katka ngazi mbali mbali Rais Hassan...
  4. Viongozi mlipewa dhamana wajibikeni

    Habari wana JF Moja ya vitu vinaturudisha nyuma ni uwajibikaji wa viongozi katika nafasi zao , waziri mkuu ametembelea miradi ya maendeleo kigoma alivyojionea kama si sheria unatamani umpige mtu lakini hapana huwezi kufanya hivyo. Kwa mujibu wa kauli iliyosikika ya PM ni kuwa halimashauri...
  5. Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya mitandao ya kijamii kuwa kura zipo mitaani sio mitandaoni

    Kauli zingine zinafikirisha sana. Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali. Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia. Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani. Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura. Inashangaza.
  6. Wakili Jebra Kambole asema Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kwa uchochezi akwama kupata dhamana Polisi

    Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa." Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye...
  7. Rais Samia ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa Mabadiliko ya TabiaNchi

    Uteuzi wa Rais Samia uliwasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Dunia cha Uhimilivu wa Mabadiliko ya TabiaNchi (GCA) Ban Ki-moon wakati walipokutana Kenya kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika uliohusu Mabadiliko ya TabiaNchi Wajumbe wengine wa Bodi hiyo ni Rais wa Senegal...
  8. S

    Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Habari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X. - Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha...
  9. Arusha: Wakili Madeleka apata dhamana

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara...
  10. Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

    Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI” Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii? Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi? Rais mbona...
  11. C

    Mkopo kwa dhamana ya nyumba, Msaada wenye Nyumba

    Habari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele. Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba). Nimefika Bank CRDB nimewambia hitaji langu,wakaniambia mahitaji kwa mfanyabiashara kama mimi, Vyote...
  12. Hiki ndicho kilimponza Mkuu wa Wilaya Mtwara, Msabaha. Viongozi acheni dharau, cheo ni dhamana

    Msabaha sijamuonea huruma. Alikataa kuwapa hela Wanakijiji wa Lyowa na akataka Shule ijengwe Muungano huko Mtwara kwa hela alizoleta Samia Suluhu. Kwanza aliwapa masharti Wananchi wajenge wenyewe Madara matano ili kuwapima kama wanahitaji kweli shule. Wananchi wakachangishana wakajenga...
  13. Dkt. Slaa aachiwa kwa Dhamana kituo cha Polisi Oysterbay

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa ameachiwa kwa dhamana saa chache zilizopita ikiwa ni siku chache baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa makosa yaliyoelezwa kuwa ni uhaini na uchochezi. Taarifa za kuachiliwa kwa Dkt. Slaa zimekuja ndani ya saa 24 baada ya jopo la Mawakili...
  14. Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu . Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege...
  15. M

    Wakati mwingine ni bora hata kutojua maamuzi ya ovyo yanayofanywa na watanzania wenzetu wenye dhamana ya kutuongoza. Inauma sana

    Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
  16. Mwalimu anayedaiwa kumbaka Mwanafunzi afutiwa Dhamana

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Misungwi imemfutia dhamana Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kilimo, Paulo Charles (39) aliyetuhumiwa kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wake ili asiharibu ushahidi upande wa mashitaka. Akimsomea mashitaka mawili kwenye kesi ya makosa ya jinai namba...
  17. Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo. == Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
  18. Arusha: Aliyejeruhi mke anyimwa dhamana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limemfikisha mahakamani mtuhumiwa Isaack Mnyangi (45)Mkazi wa Sombetini Jijini Arusha na kusomewa shtaka moja la shambulio la Kudhulu Mwili. Mbele ya Hakimu ,Jenifa Edward wa mahakama ya wilaya Arusha,katika kesi namba 80 ya mwaka 2023,mwendesha mashtaka wa...
  19. Sheria ya dhamana yakosolewa na Tume ya Hakijinai

    Wakili wa Kujitegemea Zadock Magai amependekeza marekebisho kwenye Kifungu cha 148(4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ili kuipa mahakama mamlaka ya kuamua kutoa au kutokutoa dhamana kwa mshtakiwa. Wakili Magai ametoa mapendekezo hayo katika Tume ya Hakijinai iliyoundwa na Rais Samia...
  20. Mahakama yagoma kubadili masharti ya Dhamana ya Mkurugenzi wa JATU

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali maombi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya aliyotaka apunguziwe masharti ya dhamana ili aweze kudhaminiwa. Gusaya anakabiliwa na shtaka moja la kujipatia Sh 5.1bilioni kutoka katika Saccos ya JATU kwa madai kuwa fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…