Enzi za Musa na manabii wengine na hata wafalme walikuwa wakikosea Mungu anawaadhibu palepale na kisha Nabii anaambiw na Mungu kuwa watu hawa wamefanya machukizo kadhaa wa kadhaa.
Bali na yote walikuwa wanatoa sadaka na dhabihu za kuteketezwa. Na hapo Mungu aliwajibu kuwa dhambi zao...
Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
Wakuu habari
Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au nchi,akazitumia zote kwa maslahi yake kama kujenga bar,lodge,majumba ya kifahari nk...huyu ana vyeti au...
Kuna wakati tunaingia kwenye ugomvi na watu kwasababu ya kushindwa kusema hapana
Na Kuna wakati tunaingia kwenye magumu ambayo hatuku paswa kuya pitia kwa kushindwa kusema hapana
Unapo shindwa kufanya Jambo na watu wakataka kukupa dhamana ya kulifanya ili Hali unajua huwezi kulifanya
basi una...
I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu.
hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu.
Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu.
ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya...
-kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani
-Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka
-Kijana wa tatu Ameiba Sadaka kanisani na kwenda kuwapa maskini na yatima
Je ni nani mtenda dhambi ?
1. Huangamiza nafsi.
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." (Mithali 6:32)
Mtu hufa kiroho, kama ilivyo dhambi yoyote ile humuondoa mtu katika uwepo wa Mungu, na pia huondoa uwepo wa Mungu
kwa mtu na hicho ndicho kifo cha kiroho.
2. Huondoa...
Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi sana ila inashangaza kuona ukristo unapiga vita ndoa za wanawake wengi. Ila ushauri wangu kwa Dunia ya...
Nashangaa sana wazee wa mwanzoni akina Mtei na Makani walifanya uenyekiti wa CHADEMA kama nafasi huru hawakutaka kukaa madarakani mpaka waondolewe kwa nguvu. Kwa Sasa ni CHADEMA imejenga mtindo wa kwamba akitokea kiongozi mwenye ushawishi akagombea uenyekiti wa chama huwa anageukwa na kuitwa...
Usihangaike kuomba, kuombewa, mafuta ya upako, maji ya upako.
Kanuni ya kupata muujiza kwa Mungu ni kuacha uovu. Kama bado unafanya uovu usitegemee muujiza kutoka kwa Mungu
Maandiko yanasema akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote. ( zaburi 103:3)
Mahubiri ya yesu Kristo wakati...
Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo.
Wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana.
Nikawaitikia ila...
Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo.
Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika
Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
Mara tu ukishatenda dhambi yoyote! "You will never be same"! Inakutoa hapo ulipo na kukuvua ngua na kuwa uchi.
Mwanzo 3:1-24!
Mara tu Adamu alipotenda dhambi, alitolewa na kutupwa nje ya bustani ya Eden na kuvuliwa nguo! Hakuna cha kusubiri!
Hata wao akina Adam na Awa walishangaa saana...
Wakuu heshima yenu.
Maandiko Yako wazi yanatuambia kuwa Shetani au Ibilisi aliasi huko mbinguni na akatupwa Duniani.
Na mara zote tunaambiwa Huko mbinguni hakuna dhambi maana wanaishi viumbe watakatifu tu akiwako na Mungu Baba.
Tena Bibalia inasema katika kitabu Cha mwanzo Nanukuu..
Mwanzo...
Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version)
Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
JE!? ni dhambi au si dhambi kwa kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo.
yaani kusuka nywele za mkono au mawigi
kuvaa mapambo kutoboa sehemu za miili yao na kuvaa hereni na vikukuu
kuvaa mavazi ya kiume au yanayoacha wazi sehemu za miili yao,nguo zinazowabana na kuchora maumbile yao au nguo...
Mathayo 5: 28
Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
MY TAKE:
Kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli? Labda awe kipofu, huku kukicha mizigo huku na kule humo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.