Dhambi ni Nini
Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya lililo sawa ingawa mtu anajua...
Biblia haimlaumu mtu kwa sababu ni tajiri;Wala haisemi kuwa utajiri ni chimbuko la uovu wote.Badala yake maandiko yanasimama kuwa Mungu atoaye uwezo wa kupata utajiri Na uwezo huu na talanta iliyo nzuri kama ikitolewa kwa Mungu na kutumia na kuendesha kazi yake .Biblia haimlaumu uwezo wa ubongo...
Kupiga kura ni njia muhimu ya kutimiza wajibu wa kijamii na kisiasa.
Ni fursa ya kushiriki katika mchakato wa maamuzi yanayoathiri maisha ya watu na jamii kwa ujumla.
Kutoshiriki inaweza kupelekea kukosa sauti katika mambo yanayohusiana na maisha yetu.
katika mitazamo mingi ya kidini, mamlaka...
Dhambi kubwa ya kwanza na kuapa mbele za Mungu hutoshirikiana na raila odinga
Wala handshake yoyote
Dhambi ya pili n kutangazia umma wa wakenya huo upuuzi ulifanyika hukoo nyuma hautafanyika tena
Na ukafanyika
Hii mitafaruku hata aje raila dp hawatokaaa salama arudi makanisan walkiopitia...
Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko.
Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo.
Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu...
Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto.
Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine.
Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka.
Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale wasio jua maandiko vizuri.
Kwa wachache tulio amua kuyachunguza maandiko Kwa undani wake tukaona ni...
Baada ya Mchungaji Mch. Abiud Misholi Kutamka adharani kwamba ni Ushetani mkubwa Mlokole kushabikia mpira Mwimbaji wa nyimbo za injili na SHABIKI mkubwa wa Yanga African @Ann_annie kafunguka ya moyoni na kusema....
"Kuna Max Nzengeli na Kennedy Musonda wameokoka sasa na wanacheza mpira...
Luka 12:2 Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana.
Mnadhulumu haki za watu, mnauwa kwa ujambazi, kwa visirani, ugomvi wa kisiasa na sababu mbalimbali. Jueni hakika kwamba, yupo Mungu aonaye sirini, mnafanya mkiwa mmejificha, mnafikiri...
Chukua hiyo!
Iwe kwa uganga au nguvu ya kiuchumi. Kumwendesha mwanamme inamfanya asiwe mwenye furaha.
Mwanamme akikosa furaha usitarajia kupata furaha pia. Na jiandae kulipa kwa hilo, iwe mapema au kwa kuchelewa.
Mwanamme ni KIONGOZI, regardless hali yake..... chagua yule anayefaa...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu
Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa!
Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana...
Leo Mjanja M1 nimetafakari sana juu ya hili suala,
Kumekuwa na watu wanarekebisha mpangilio wa meno yao kwa surgery hawalalamikiwi, lakini wanaobadilisha Maumbile eg. Wanawake Wowowo wanasakamwa sana.
Au waumini mnachagua madhambi baadhi?
Angalia hapa utajua.
Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu kila wakati, Kwa nini asifanye dhambi na atubu mara moja sio kila siku.
Haya mtu kila leo kanisani...
Mwaka 2002 nikiwa kijana mdogo wa sekondari nilifanya jambo la kipuuzi sana na ilikuwa dhambi. Nakumbuka ilikuwa ni kipindi cha likizo ya mwezi wa 6. Kwa miaka yote 6 ya sekondari sikuwahi kusoma tuition kabisa na ilikuwa kila likizo lazima tukutane na program za kazi baba kashaziandaa. Likizo...
Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho?
Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa...
Jana nimekusikiliza vizuri wakati ukihutubia Baraza la Wanawake Waislamu. Dhambi iliyokukera zaidi na kuikemea katika kusanyiko Hilo la Dini ni "Kutukana" (matusi). Dhambi hii ukiigeuza katika makosa ya kijinai ni kosa dogo la kutoa lugha ya matusi ambalo adhabu yake ni faini au kifungo Kati ya...
Moja ya dhambi mbaya kwenye maandiko matakatifu itakayowafanya watu wengi waikose mbingu na kwenda motoni ni dhambi ya uzinzi na uasherati licha ya kuwa dhambi zote zina toba ila hii dhambi ya uzinzi toba yake ina procedure nyingi inaiñclude watu wengi ili uweze kusamehewa pamoja na hilo mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.