"Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC.
Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
Habari wana jamvi wa JF,
Sisi kama binadamu, tumeumbwa kufuata miongozo.
Miongozo hiyo imo katika vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Msahafu kwa upande wa dini na Katiba kwa upande wa kisiasa.
Bila miongozo hii, tusingekuwa hapa tulipo na dunia pasingekuwa mahali salama pa kuishi.
Hivyo...
Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba.
CCM...
Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano.
Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi.
Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale.
Kwa leo ni hayo tu.
Twende kwenye mada. Kuna dharau za waziwazi na kuna dharau zilizojificha. Tusaidiane kugundua dharau zikizojificha.
1. Ukiona mtu anakusifia sana mbele za watu jua anakudharau. Mtu mwenye heshima zake huona haya akisiwa mbele za watu. Sasa mtu akikusifia bila kujali hilo fahamu kuwa...
Sijajua ilikuaje hadi mheshimiwa akawa over-come na emotions huko kwao, sijajua ni super V.I.P treatment na heroic welcome aliyopipata huko kwao ukilinganisha na alivyokuwa treated Dar na kupuuziwa na mkubwa wake wa kazi au au ni remorse na guilty ya aliyoyafanya zamani au ni vipi.
Habari wanazengo, mimi nina duku duku kidogo kuhusu watu wanopenda kutumia mkono wa kushoto ili hali siyo watu wa mikono ya kushoto.
Kuna mwana mmoja mtaani hapa ninapokaa yeye mara nyingi ukikutanana nae mkisakimiana nae yeye huwa analeta mkono wa kushoto na siyo mara moja au mbili like all...
Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
Hivi hii mifumo ya kiutawala hapa duniani na nchini kwetu huwa ina siri gani ndani yake? Mfano kwa hapa Tanganyika, watu milioni 60 wanalia na kusaga meno, tena huku wakiwapigia magoti Watu wasiozidi 20, kuwaomba wasiingize nchi utumwani kwa kugawa bure rasilimali za taifa, lakini kwa dharau na...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma.
Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini.
----
Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
Sikupata mshangao sana yule askari wa Uganda "aliemmiminia" njugu wale officers pale ofisini wala hakumpiga risasi mtu mwingine kwa sababu target yake ni hao officer wenye dharau na kujibu watu hovyo hovyo.
Nyie mliopata nafasi/kubahatika kukaa ofisini wahudumieni watu kwa upendo na staha...
ulioa ili iweje sasa,yaani mi najiuliza sana mtu umemuona ana faa kuwa mke why umdharau??tena unakuta ni hadharani bora iwe mafichoni. Unaenda mbali zaidi unamkalipia mkeo Kama mtoto mdogo aisee.
Uwa nawaona wengi tu hata wake zao wakiwapigia simu yaani jamaa anavyoongea na mke wake kwenye simu...
Mungu fundi bhana.. Tumbo lingekuwa na kioo tungeona mengi 😁viazi, magimbi vitumbua n.k ila akajua akili zetu na tabia zetu. Ule baga au magimbi wote tunaishi.. unyama sana yaani.
[ ] Ushajenga nyumba yanini ukae nje? Ili watu wakuone kuwa nyumba yako😁
[ ] Umenunua gari ila ukaona ufungue...
Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua.
Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother?
Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers?
Hebu tujaribu...
Hello family,
👇👇👇
Natuma salamu kwa huyu member mwenye picha yenye nyashi a.k.a Nanamucho amefanye dharau eti sisi wadau humu hatuna pesa, sasa natoa ofa kwake na mabasha wake nikutane nao sehemu bill ntalipa mimi, dharau za kijinga afanye huko kijijini kwao.
Mfikishieni taarifa weekend hii ya...
Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini.
Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report.
Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali.
DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh Makin
Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa...
Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
Mimi nakumbuka nikiwa nafanya kazi za u house boy, kuna siku mke wa bosi wangu alikuwa anatoka kwenda sehemu sijui kusuka ila akiwa getini anatoka mimi nilikuwa naangalia movie pale sebuleni akaniita, kaka naomba uniletee viatu vyangu huko baraza ya nyuma ya nyumba maana ilikuwa msimu wa mvua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.