"Miaka ya sitini, miaka ya sabini na miaka ya themanini vijana walikuwa wanahudumia wazee na watoto. Hali haiko hivyo sasa. Kwa sasa, wazee ndio wanahudumia vijana na watoto wao" - @mwigulunchemba1
Chanzo: EastAfricaRadio
Nijuavyo ni kwamba hakuna Kijana ambaye anapenda Kutowajali Wazazi au...
Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.
Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.
Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani...
Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
Hapa ni kabla hajatumia ile technic inayotumiwa na wengi ya kumtukana Mbowe na CHADEMA kisha kupewa ulaji na kulambishwa asali, jamaa keshasahau kwa sasa anawaona vijana wasio na ajira wanaotafuta mikopo na kukosa kwamba ni wajinga fulani hivi au ni wakenya kwa akili yake na ujeuri wake ni...
Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection.
Katambi acha dharau na hilo litakukosesha jimbo.
===
Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma, wakati...
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli.
Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea.
Wapo wanaosikika...
ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE! WARAKA WANGU LIVE KWA NDUGU YANGU MARKO: Nimeusoma kwa MASIKITIKO MAKUBWA SANA WARAKA WAKO WA Baadhi ya Makundi katika Jamii kutaka KUKUMALIZA NA HASA KUKUNYONGA....NINAANDIKA WARAKA huu KWA SABABU YA MY AMERICAN SPIRIT ni kwamba wewe ni Ndugu yangu sana...
Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu."
Haipendezi bint wako wa...
Jeshi la Urusi,
Limethibitisha kwa njia ya video SHAMBULIZI lao huko Magharibi mwa lviv karibu na mpaka wa Poland ambalo shambulizi hilo lilipigwa kwa njia ya Rocket lililenga ghala la mafuta (fuel Depot) jumamosi.
Wazili waulinzi wa Urusi alisema eneo hilo lilikuwa likihudumia majeshi y...
Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala.
Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane.
Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa.
Hawa jamaa wanatudharau sana,
Jana akihojiwa na vyombo vya habari Ismail Aden Rage ameiita ligi kuu ya Tanzania ni ligi ya mbuzi isiyo na lolote.
Kiongozi wa aina yake tena kiongozi mustaafu wa TFF haikuwa busara hata kidogo kuongea kauli kama ile ya ki fedhuri!
TFF watu kama hawa ndiwo wa kufungiwa hata miaka 100.
Habari Wakuu!
Kukaa miaka mitano tuu ndio ujifanye Mzungu?
Kukaa miaka mitano tuu ndio ushindwe kuongea Kiswahili bila kuchanganya na kimombo?
Ati mjanja! Ati anajiita Civilized, Mpuuzi tuu!
Kitu kidogo utasikia; yaani wabongo hampo civilized! Mara ataje Ridiculous! Na msamiati mingine...
GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya baba yako, lazima watapata laana la kimichezo.
Hapa mbwa ameifuata TFF hadi msikitini. Wacha...
Mimi ni shabiki wa Yanga ila sipendezwi na Haya Maneno ya Hawa Wachambuzi Wanahakati.
Hii ni dharau kubwa kwa wachezaji wetu wa Ndani. Haya maneno ya huyu Mchambuzi yanawajengea Over Confidence wachezaji Au una Nullify Confidence ya Mchezaji Kama Kapombe.
Hata kama huyo Djuma ana kiwango bora...
Wasalamu wakuu.
Ni hivi, huyu binti kanichosha.
Tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za ajabu. Mara utasikia “wewe hebu niache”, mara “mambo gani hayo mi sitaki”.
Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye...
RAIS amateua mwenyekiti wa BOARD ya NBAA (T) NI karibia miezi 2 sasa. ILA MWIGULU hajateua Wajumbe mpaka sasa
swali wake mwingulu
ni dharau kwa mamlaka za uteuzi au anasubiria mpaka wapatikane wale wa lile kabila km walivyozoea kipindi cha shujaaa wa africa
MADHARA YANATOKANAYO NA...
Wakuu kwema?
Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini.
Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni.
Hawa watu wa namna hii ni majibu gani...