Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameahidi kuzisaidia Nchi Washirika wake Barani Afrika katika Sekta mbalimbali za kuleta maendeleo na amesema ataisaidia pia Afrika kupambana na ugaidi.
Rais Putin ameahidi kutoa msaada kamili kwa Bara la Afrika ahadi ambayo ameitoa leo Jumapili katika mkutano kati...
Doh! Sio Mchezo
Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United cha bao 3-1 kimetumika darasani kama somo la kusoma kwa wanafunzi wanaojifunza Kiswahili.
Soma, Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Katika video iliyosambaa, wanafunzi...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani.
Ikumbukwe kuwa utawala...
Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi.
Soma hii taarifa yao hapa chini
Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.
Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?
Baada ya kulia mmepata faida gani?
Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13
Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu.
Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?!
Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
Kama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki.
Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu ambao Bado hawajajua kuchanganua mambo.
Kuna muda unataka uangalie zako tamthilia nawao hao wapo hapo...
Wakazi wa moja ya mitaa Mbagala Rangitatu hawana umeme tangu jana asubuhi mpaka muda huu ninapoandika hii Post. Wakazi hawa wapo mita mia tano toka ofisi ya Tanesco Mbagala na mita miambili toka Sub Station ya Mbagala, hata hivyo walishinda na walilala bila umeme kwa zaidi ya saa ishirini na nne...
Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
Wanaukumbi.
Netanyahu alipokuwa akizungumza, familia za wanajeshi wa Israeli walioanguka walilipuka kwa sauti za hasira na kufadhaika, zikilaani waziwazi uongozi na maamuzi yake. Watoto wao wanakufa vitani umeshindwa kurudisha mateka...
Jumanne wiki hii ndani ya ofisi za chama cha mapinduzi(ccm) moshi mjini,kulitokea tukio ambalo siyo la kistaarabu pale kada wa chama hicho,Ibrahim Shayo a.k.a Ibraline alipomporomoshea matusi makali mstahiki meya wa manispaa ya moshi,Zuberi Kidumo.
Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya...
Wanaukumbi.
Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran.
https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!!
po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia...
Hii kauli imebeba maana kubwa sana leo unajua kwanini unapocheza na Yanga kisha ukapata shauku sana ya kufunguka na kuwashambulia ndipo hapo unaingia kwenye mtego wao.
Ukiwashambulia Yanga kisha ukaacha sana magepu kwenye zone yako ombea Yanga wasiupate huo mpira ni wazuri sana kwenye kufanya...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo
1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh
1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh
Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na
thamani...
Hili si suala la ushabiki wala kiimani. Uungwana siku zote ni kujitendea haki mwenyewe kwa kuukabili ukweli hata kama ni mchungu.
Sote ni wafu watarajiwa na kwa mola tutarejea. Hata ipo tofauti linapokuja suala la kurejeshwa na binadamu wengine, ndiyo maana kelele zinapigwa.
Rejea "Operation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.