Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris.
Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya.
Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti mitandaoni kumuondolea imani Kamala kwa wamarekani ? Au vijembe tu vya kisiasa ?
Mwezi huu maada ya mchakato wa mwaka mzima Kenya imeitangaza rasmi Eldoret kuwa jiji la 5 katika nchi hiyo, hata hivyo Wakenya wengi wamedhihaki na kukebehi uamuzi huo wakiita Eldoret kuwa bado ni kijiji tu!
Hawa majirani zetu tuwaambie ukweli au tuwaache tu?
Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini mwaka 2001 alikuta tuna gesi imeshavumbuliwa. Hawakuwekeza hata senti tano nyekundu kutafuta Gesi...
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Yanga ni wa kawaida na hana presha nao na yupo tayari kuibuka na ushindi. Yapi maoni yako?
Habari!
Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi).
Kwa muktadha ule, wale vijana walifanya unyama sana kwa yule binti tena wakaona wamrekodi na kurusha katika mitandao...
Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja.
Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
Mvutano wa kisheria unaoendelea Kuibuka katika shauri lililofunguliwa na Wakili Steven kitale katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya mjibu maombi wa nne, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kuwasilisha pingamizi likiwa na hoja mbili.
Wajibu maombi katika shauri hilo namba 17558/2024...
Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi.
Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki .
Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti?
Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya...
Utangulizi
Uamuzi wa kukodisha au kuuza majengo ni muhimu kwa wawekezaji na wamiliki wa mali isiyohamishika. Kila chaguo lina faida na changamoto zake.
Makala hii itachunguza kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia unapochagua kati ya kukodisha au kuuza majengo. Tutaangalia masuala ya kifedha...
Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda.
Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya Principal Resident Magistrate, katoa uamuzi, yaani imechukua chini ya saa 24. Hajamuita mshitakiwa...
Mutatis mutandis: Lat. With the necessary changes in points of detail, meaning that matters or things are generally the same, but to be altered when necessary as to names, offices, and the like.
Yaani, the basic structure is the same but there may be a few changes made.
Celeris paribus...
Mwanasheria/ Jaji mzuri ni yule anae paswa kutazama sheria kama inavyo paswa kuwa na sio kama ilivyo andikwa.
Lakini hii haipo kwa wanasheria wa Tanzania. Wengi hawana busara. Wanakariri vifungu vya sheria na procedures tu.
KWA mfano:
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Mtu mzima ananzia...
Hukumu hii ni ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Hukumu inatokana na kesi ya msingi iliyofunguliwa Agosti 4,2022 na walalamikaji Juma Ally na Geoffrey Mwaipopo, wakitaka kutotambulika kwa Baraza...
jana kuna taarifa zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha kiongozi wa klabu enginer hersi said wa yanga dhidi ya uamuzi wa mahakama ya kisutu,uamuzi huo umeibua taharuki kwa viongozi,mashabiki na wanachama mpaka kupelekea sitonfahamu na mashambulizi kwa mzee magoma kutishiwa...
Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo ya ziada yaani booster.
Zaidi ya 94% ya takribani visa milioni 249 vya malaria duniani na vifo...
Siku moja nilipigiwa simu na msomaji wa makala zangu za mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO. Msomaji wangu huyu alijitambulisha kwa jina la Hassan. Maelezo yake yalikuwa kama ifuatavyo:
Kulikuwa na mwenye nyumba anayejulikana kwa ukatili wake dhidi ya wapangaji. Jina lake ni Bi. Mwajuma, mwanamke...
Sisi Simba ni timu ya mioyo yetu, hatufaidiki wala kunufaika na chochote zaidi ya furaha, watu wanasafiri kutoka Bukoba, Mbeya, Kigoma wengine wanatumia baiskeli kuja kuwasapoti nyie viongozi na timu kwa ujumla.
Miaka ya hivi karibuni ilikuwa nadra sana kusikia Simba ikizozana na mashabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.