Kichwa cha habari cha jitosheleza.
Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.
Mwanzo walitakiwa kufidiwa kwa malipo ya hela ila halmashauri wakasema fungu lililotengwa lilichukuliwa tena na...
Moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea.
Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi?
Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande.
Kadhia hii imemkuta mchunga...
Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani, Serikalini.
1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi
2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako
3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi...
Mheshimiwa Rais kama kuna Sekta ambayo kwa sasa inatajwa na Dhambi ya Kudhulumu Watanzania Wanyonge basi ni ya Ardhi.
Na kama kuna Mkoa ambao unaongoza kwa Watanzania Wanyonge Kudhulumiwa Ardhi yao ni Mkoa wa Dar es Salaam.
Na kama kuna Mkuu wa Mkoa ambaye anapewa Lawana ya Kutetea Wapora...
Hata Ulaya ilikuwa hivyo, watu binafsi wanakopa fedha kwa manufaa yao binafsi halafu nchi au Serikali ina guarantee hiyo mikopo kwa kodi za Wananchi, maana yake ni kwamba kama akishindwa kulipa deni atakayedaiwa ni Serikali kwa maan ndiye alidhamini na siyo mtu binafsi aliyekopa.
Hivyo Serikali...
Dhuluma ni chanzo cha kwanza cha ugomvi na kutokuwa na maelewano kati ya watu wawili. Pia dhuluma yaweza kupelekea
Hata watu kutaftana na kutaka kuondoa uhai wa mwingine.
Cha hajabu kitendo cha kutaka kutoana uhai, hakimuathiri yule aliedhulumu tu. Bali kinamuathiri ata yule aliedhulumiwa...
Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza kichwani, serikali inaendelea kuwaua ili kumpigania "mungu" wa waislamu ila wananchi wameamua hata...
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa...
Iran bao wanaendelea kuliamsha, wanauawa ila hawakomi, serikali inapambana kumlinga 'mungu' na uislamu
Iranian protesters clashed with security forces on Thursday in the town of Karaj, some 40 kilometres west of the capital, Tehran.
Hundreds of people blocked the highway that runs through the...
Serikali inaendelea kuua wananchi wake kama jitihada za kumpigania "mungu" na uislamu....japo wananchi wamechachamaa, masuala ya kidini waachiwe kila mmoja ajiamulie, sio mwanamke anauawa kisa kipande cha nywele kimejichomoza.
==================
Acity in Iran that was the scene of a bloody...
Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
Serikali ya Iran inaedelea kumpigania "mungu" wao kwa kuua wananchi, ila hao wananchi wamechachamaa, itabidi wafe wote.
Watu wamechoka kulazimishwa dini na serikali, yanapaswa kuwa maamuzi ya binafsi.
Protests in Iran are continuing despite a crackdown by security forces that one human rights...
Jameni serikali ya Iran inatumia nguvu nyingi sana kumpigania huyu 'Mungu' wao, inawaua raia wake kama nzige. Wasichokijua, kadiri wanavyowaua watu ndivyo wanazidi kupandisha mzuka nchi yote.
========
Two were killed in Sanandaj, including a man shot in his car after he sounded his horn in...
Ulipe kodi kwenye kila bidhaa unayonunua- hiyo SAWA
Ukatwe Kodi (PAYE) toka kwenye mshahara - Hiyo SAWA
Hiyo hiyo pesa uliyonilipa mshahara na kodi yako umesha nikata, unaniwekea benki, nikienda kuichukua bado unaifata tena unaikata TOZO- HII SI SAWA.
KUNA BIASHARA GANI AMBAYO IMETOA FAIDA...
Kuna kitu huwa najiuliza wakati wote kuwa sisi Tanzania kipindi cha 2015-2021 pale Mungu alipo amua ugomvi tuliaminishwa kuwa kuna vita ya kiuchumi!
Huu ulikuwa ni uongo na uzandiki wa wazi kabisa. Tanzania hatukuwa na vikwazo vyovyote vya kiuchumi bali tulikuwa na vikwazo vya kisheria kutokana...
Ishu kuu ni hawa mama wa kambo kuchota kila kitu huku, watoto wa mwanzo wanaambulia patupu...Je ni haki hawa mama wa kambo kuzoa kila kitu?
Binafsi nimeona kabla mwanaume hajaoa mwanamke mwengine (hasa hawa wazee wanao oa mabinti) , ingependeza haya mambo ya urithi yawe wazi ili kuepusha shari...
Miaka ya nyuma huko Zamani za miaka ya kupata uhuru mpaka miaka tisini ukiua mtu hana hatia ilikuwa lazima uwe chizi au ufe kifo kibaya sana.
Polisi alikuwa akibambikia mtu kesi lazima afukuzwe kazi au kupata ajali.
Ilikuwa ukidhulumu mali ya mtu lazima ufirisike na kuwa masikini.
Leo hii...
Wafanyakazi wananyonywa sana, makato ni mengi, lakini taasisi ziwe za serikali ama binafsi kupeleka michango hiyo sehemu husika imekuwa ni issue sana. Inafikia mfanyakazi anastaafu, ameumia kazini ama ameacha ajira anakosa stahiki yake kwa sababu hamna michango ambayo imepelekwa sehemu husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.