dhuluma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi, undeni timu ndogo watalaamu iwape mapendekezo kuondoa dhuluma na kadhia hii

    Hongera Mh. Mabula, na Mh. Ridhiwani Lipo tatizo la sheria mortgage dhamana kuuzwa na wadau wakopeshaji kwa Bei za hasara na kutokujali kutambuliwa juhudi za awali mdaiwa alivyopambana. Hii inapelekea kuongeza umaskini na kudumaza sector ya biashara. Nashauri undeni team ndogo watalaamu iwape...
  2. M

    Hivi kuwa askari polisi ni tiketi ya kudhulumu raia wema?

    Habari RAIA wema wa Tanzania, nimekaa nalo sana moyoni, lakini kila kukicha mambo yanazidi kuwa mabaya kutokana na matendo mabaya ya askari polisi. Siku Mona nilikuwa nimesimama dukani nanunua vocha ghafla defender ya polisi ikaja ikawa inabeba watu hovyo. Kufika kwangu nikagoma nikauliza...
  3. Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
  4. Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
  5. B

    Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

    Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana: Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine: "Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
  6. Ndugu yangu wa damu hana uaminifu kwenye pesa, amenidhulumu mara kadhaa

    Wakuu hopefully amjambo ngoja niende kwenye point .. Nina Kaka yangu ambae ndie first born wafamilia .. nashindwa kumuelewa kabisa .. kila Ela yangu ikipitia mkononi mwake hua airudi Ni Mara kwa Mara ili tatizo linajirudia .. Mwaka Jana nilikuw na kias cha pesa over 700k pesa niliotaka ku...
  7. Dhuluma za Wakenya kwa bandari yetu

    Wakuu, Wakenya wanaiua bandari yetu kimya kimya. Hivi karibuni makampuni kadhaa hapa Tanzania yameanza kupeleka bidhaa zao Bandari ya Mombasa baada ya nafasi za shipping line maarufu ya Maersk kukosekana kabisa hapa nchini. Msafirishaji akiangalia nafasi za kuexport mzigo kwa hapa nchini...
  8. Hakika dhuluma haifai leo unaweza mdhulumu mtu ukajiona mjanja kumbe karma inakuwinda pasipo wewe kujua

    Moja kwa moja kwenye historia yangu binafsi ya maisha yangu enzi za utafutaji, ni miaka takribani 27 imepita tangu mshiriki wangu katika biashara akimbie na fedha zote na mtaji na kutokomea kusikojulikana, kwa ufupi ni kwamba huyu bwana miaka hiyo enzi za utafutaji niliungana nae tukawa...
  9. Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

    Rais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee|| "Hakuna kama Samia " Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa...
  10. R

    SoC01 Shairi: Hili Neno "Ukatili"

    Salaam! Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
  11. Wasimamizi wa Uchaguzi watakiwa kuwa na Weledi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Wilson Mahera akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata yanayoendelea Mjini Morogoro. Tume ya Uchaguzi inataraji kufanya Uchaguzi mdogo...
  12. ACT Wazalendo, mnapata wapi nguvu ya kushiriki chaguzi zilizojaa dhuluma?

    Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo. Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo 1) Je, mmeahidiwa kupewa nakala ya fomu za matokeo kwa kituo na wakati wa majumuisho? 2) Je, mnaruhusiwa kuingia na simu...
  13. Kwa dhuluma kubwa iliyopo sasa nchini kutoka vyombo vya dola, tunahitaji mabadiliko haya.

    RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili August 29,2021 ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi akiwemo IGP na...
  14. Maslahi, mishahara duni kwa Polisi chanzo cha rushwa na dhuluma

    Wasalaam. Nimefanya utafiti mdogo kujua kwanini police wanakula rushwa na kudhulumu raia nikagundua ni mishahara duni wanayolipwa na serikali sikivu ya ccm. Police walishaua wafanyabiasha wa madini kutoka mahenge na kuwadhulumu pesa na madini kisha kutangaza wameua majambazi. Dhuluma na uonevu...
  15. Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020. Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi...
  16. Waziri wa Mambo ya Ndani unda tume ichunguze SACCOS ya Magereza imejaa dhuluma

    Kwanza saccos hii imejaa watumishi wazembe na wasio na hekima katika muktadha wa huduma kwa wateja. Askari hasa wa mikoani huwalazimu kutoa hadi rushwa ya zaidi ya milioni ili tu wasaidiwe kupata nyaraka muhimu kwa mfano zinazohusu mikopo. Kama huna rushwa ya kuanzia laki tano na kuendelea...
  17. Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

    Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
  18. ACT Wazalendo mlishiriki kubariki dhuluma ya uchaguzi uliopita; mshirika wenu anawaonesha rangi yake sasa, vumilieni

    Maandiko yalikuwa ukutani, wakayapuuza. Mazingira ya kisiasa , Vyombo vya dola, tume ya uchaguzi, sheria n.k vyote vilikuwa si rafiki sawa na hapo awtu ali lakini ACT Wazalendo walichagua kushiriki kubariki uchaguzi uliyopita na kuwapa CCM uhalali ambao waliuhitaji sana,wakati ACT wote...
  19. KARMA: Tulishangilia wakati wengine wanalazimishwa kulipa kodi za dhuluma, sasa yameturudia inabidi tushangilie

    Kwa miaka takribani sita iliyopita matajiri hawakupumua nchi hii, kodi za dhuluma ziliwaelemea. Kesi za uhujumu uchumi ziliwazunguka, akaunti zao zilifungwa na wengine ilibidi wahame nchi. "Wanyonge" walishangilia kwa vifijo, miluzi na tarumbeta. Hawakujua nao yangekuja kuwatokea. Hivi sasa...
  20. M

    Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…