Mwanamuziki Harmonize ameweka wazi kumalizia Msikiti ulionzishwa kujengwa na Diamond Platnumz kijijini kwao Mtwara.
.
Harmonize anasema kuwa alipewa pesa na DiamondPlatnumz aka Simba ili kujenga msikiti huo lakini baada ya kugombana na ujenzi wa msikiti ulisimama. Sambamba na hilo Harmonize...
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
Kwa wakongwe, hebu njooni tukumbushane ukumbi maarufu wa kufanyika kwa matukio makubwa miaka. Ukumbi huo ni Diamond Jubilee, unakumbuka nini kuhusiana na ukumbi huo? Shea nasi
Katika Ukurasa wa Mtandao wa NIVURUGENIKUVURUGE kuna Taarifa pamoja na Video ya Mzungumzaji akisema kuwa karibia Wanawake wote ambao Diamond anakuwa nao Kimahusiano huwa wanashindwana na hata Yeye kuwaacha kupitia sababu zifuatazo za Mama yake na kwamba Zuchu anazivumilia tu kwakuwa analazimisha...
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26.
Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
Unaacha wanawake kariba ya Zari unaenda kudeti na kuku wa kienyeji asiyemudu hata kulipa kodi ya chumba sebule Tabata.
Mwanamke mjinga asiyejua kalenda zake,mwanamke unatoka nae bongo mpaka South Africa kumbe yuko period hata hajui gharama ulizotumia kwa tiketi ya ndege na hotel.
Kuna siku...
Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.
Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’
Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana...
Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefafanua taarifa za msanii wake Mbwana Kilungi maarufu ‘Mbosso’ kuondoka kwenye lebo hiyo, huku akisema yeye ndiye mtoa tamko wa lebo hiyo.
Soma: Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond
Kupitia...
Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana...
Karibu sana Mdogo wangu Diamond katika Umri wa utu uzima, Sasa wewe jijuwe sio Kijana Tena, Kwa maana Umri wa ujana mwisho ni miaka 35. Kama ilivyo Kwa mwanamama Jokate ambaye naye si kijana Tena.
Hivyo, kwenye makongamani ya vijana diamond ataalikwa kama mtumbuizaji, na si kama Kijana wa...
Wakuu
Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii wa muziki na mmiliki wa biashara, ikiwemo WASAFIBET, ameamua kuwatukana vijana wa kitanzania kwa makusudi kwa kuchapisha tangazo lenye nia ovu ya kudhalilisha, kutweza na kubagaza utu wa vijana wa Tanzania. Ni dhahiri shahiri kuwa amewalenga vijana kwa...
Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu.
Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani.
Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond.
Umegombana na wadada wa mjini na...
Tanzanian Bongo Flava superstar Diamond Platnumz has fans buzzing with anticipation following the announcement of a remix for his hit song "Holiday," featuring American rapper Rick Ross. The collaboration is expected to fuse Diamond's signature Afrobeat sound with Rick Ross's distinctive hip-hop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.