Habari wadau,
Kupitia Instagram yake ameandika haya:-
“Mtangazaji namba 1 wa kike Tanzania niliwahi Piga Picha Na Msanii Namba 1 Tanzania saa Hii na tuna wimbo wetu unaitwa Piga Simu .. so acha nipost.
Apa tulikuwa Marafiki sana apa …sana… semeni ukweli asa hivi ni msanii gan anamshinda...
Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
Habrini wanajamvi:
Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23].
Inabidi watanzania tuache kukaza fuvu kwa kujifariji na wakati namba hazifanganyi na kipaji akijifichi, na kwa Hali hii ZUCHU...
Salaam Wakuu,
Vyombo vya Serikali viache double standard.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
Wasalaam Wana jamvi.
Msanii Baba Levo ameweka wazi kuwa anatamani Mungu amchukue hata leo ili watoto wake walelewe na Diamond.
Baba Levo amesema hayo akieleza hisia zake baada ya Diamond kumlipia ada za watoto wake wawili wanao soma TUSIME SEC.
Baba Levo anasema anatamani Mungu amchukue hata...
Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
1. Mama Diamond anasema kuwa, mzee Abdul hakuwa baba mzazi wa Diamond, inakuaje tena (yeye huyo huyo) aseme kwamba, mzee Abdul aliikataa mimba? Alikataaje kitu (mimba) ambacho si chake? Na kama ni kweli ALIIKATAA, maana yake ni kwamba, basi mama Diamond alitaka kumpa hiyo mimba.
Kwanini alitaka...
za jumapili na weekend kwa ujumla,
ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu,
kwa yanayoendelea nin halali kabisa kwa familia nyingi kupoteza wanaume kwa maana ya kufa na wanawake kuwa ndio wenye nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.