Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz.
Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album yake mpya.
Habari, Jana msanii tajika sana nchini Tanzania, Afrika Mashariki na kati na pengine kuliko wote kusini mwa jangwa la Sahara Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, alisaini dili kubwa na moja kati ya recording label kubwa ya muziki dunia, Warner Music Group, kuhusu usambazaji wa kazi za...
Mambo si mambo huko Instagram, Mega Star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake ....
Kufuatia post hiyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku...
Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond kawakashifu Forbes kutokana na list zinazosambaa mitandaoni zikionesha wasanii tajiri Afrika.
Unawaponda forbes wakati hakuna mahali popote forbes wametoa list ya wasanii tajiri Afrika zaidi ya page zisizo rasmi!!!
Naona pia wasafi tv na radio wanali...
Wana jamvi wasalaam!
Hivi karibuni kulikuwa na taarifa hapa nchini kuwa msanii Diamond amenunua private jet na huku wakisindikizwa na picha wakiwa kwenye ndege hiyo!
Wengi walisema ni kiki na ikumbukwe kuwa kipindi zinatoka habari hizi ni kipindi ambacho Msanii Harmonize alikuwa ametoa wimbo...
Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia!
Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo.
Mbaya...
Imenishangaza Sana lakini ndiyo ukweli ulivyo. Yaani sijui wanatumia kigezo Gani kupanga hao wasanii matajiri!!??
Yaani Diamond hajafikia kuwa na ukwasi wa kutosha kuwa kwenye Orodha ya wanamuziki 20 matajiri Afrika!??
Habari Wakuu,
Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio.
Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili itapofika Mwishoni mwa mwaka 2022 kama mungu akinijaalia uhai niwe nishafungua hii Radio Station...
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.
Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016.
Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza.
Na...
Mchambuzi mahiri na ayetikisa kwa sasa kwa uchambuzi wa kina wa soka wa kipindi Cha sports Arena na sport court Cha Wasafi Media George Ambangile hapo Jana amepewa zawadi ya gari Aina ya CROWN na msanii wa kimataifa na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kwa kazi nzuri alionesha George...
Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle of the movie.
Harmonize is going to win this battle . Just soon ...very soon. Diamond silaha...
Diamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi.
Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.
Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa.
Kuna swali naona linaulizwa sana huko insta eti anawezaje kumiliki Jet wakati amepanga nyumba....Soon mtajibiwa kwa...
Baada ya Majizo kuandaa press conference kwenye media yake na kushambulia wasanii wanao trend mitandaoni na wanaopata views nyingi, akisema ukali wa msanii haupimwi kwa views au trending.
Jabali la muziki wa Africa almaaluf Diamond Platnumz amempa elimu ya bure Majizo umuhimu wa views na...
Wakuu hata kama ndio fashuuun au sijui kwenda na wakati hii imepitiliza, unasuka MAPEMBE kweli bro! Au ndio externalization ya yale mambo yenu ya freemasonry? Anyways kila mtu na maisha yake. KWANI HII DUNIA NI YETU!?
Takribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda simu hiyo ambayo ni tolea jipya la itel A37 ambayo imezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa sababu zilizoelezwa na...
Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki,
Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu
Ni label kubwa sana, hapo Kenya WCB inatikisa vilivyo
Kwa haraka haraka hii Bilioni 11 ni kubwa sana kwa...
Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki.
Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscriber milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube.
Mbali na...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.