Baada ya kuona kimya, imemlazimu P-Funk aifute tu, huenda ni kuhisi kadharaulika
ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2.
Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa, ikawa trending namba 1 huku ikiipindua video ya Mboso na Baba levo
Hayakupita masaa mengi WCB wakaachia...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie...
Diamond Platnums
Mtandaoni kuna petisheni inayoratibiwa na mwanaharakati anayejitambulisha kwa jina la Liberatus Mwang'ombe, na kunadiwa kupitia akaunti za twita za Maria Sarungi, Hilda Newton, kigogo2014, Tundu Lissu, pamoja na gazeti la mtandaoni la Ansbert Ngurumo liitwalo Sauti Kubwa...
Nimekutana na hii petition mpya ambayo inataka ku reverse ile petition inayotaka Diamond kutolewa kwenye tuzo.
Kwenye petition hii nmeona pia wakenya wamo, hii picha hapa kuna mkenya utaona kasaini.
Wa tz tupi bize kushushana tu bila kuangalua uhalisia, Hivi kweli mlitaka Diamond akatae...
Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi.
BET wenyewe hawana hata muda huo
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni...
DIAMOND USIWAPUUZE KINA KIGOGO NA WANAMTANDAO, HAO SIO KINA KONDE NA SHILAWADU
Na, Robert Heriel
Diamond hapaswi kupuuza hii movement ya Wanaharakati wa kimtandao na wanasiasa, asije akafikiri kundi hili nila Wale Wasanii wenzake ambao hata shule hawajaenda.
Diamond anapaswa Ajue kuwa...
Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo.
Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others
Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi,
19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA
Natumaini mko wazima.
Kwa wiki hii mitandaoni kumetokea vituko vya wanaharakati pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuongoza kampeni ya kuhakikisha mwanamuziki komredi Diamond Platnumz hashindi kwenye tuzo za BET...
Ray C amenikera kisa hivi anasema Diamond ana roho mbaya. Seriously?
Kumbukeni Harmonize kabla hakuwa mwanamuziki wakina Rita walimkataa umeona eh? Ni Daimond ndio alimleta kwenye muziki akafika hapo alipo sio siri ni ukweli unaonekana.
Sio kila kitu uwape watu. Kwa hiyo wanaomsema Daimond sio...
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...
Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa...
Wakuu,
Duniani kuna watu na viatu, Bananga aamua kuwa mtu.
=====
Nadeclare interest
Mimi ni mshabiki wa diamondplatnumz
Nitapiga kura
Nitaomba kura kwa ajili yake
Kwangu mm michezo, muziki na starehe hazina itikadi.
Huwa nachagua vita vya kupigana
Vita ndogo ina gharama kubwa kama hupigani...
Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima.
Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi...
Anasema yeye hayamuhusu mnalalamika sana ACHA AKAE KIMYA ,kwenye kava aliweka picha ya mwalimu nyerere hali iliyomuudhi sana mtoto wa mwalimu akamuamuru atoe hiyo picha kwenye cover maana baba yake alikuwa hakai kimya kwenye MAOVU
Wanajamvi Habari.
Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond.
Lazima tuseme ukweli kuwa hata Diamond...
Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki....
Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..!
Kinachoshangaza ni kuwepo Kwa makundi yanayompinga kumpigia Kura kutokea hapa hapa nchini kwake Tanzania mahali ambapo...
Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.
Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
Wadau tuache malumbano ambayo hayana tija ebu tujivunie cha kwetu Diamond ni mwanetu. Kijana wetu mdogo wetu mtanzania mwenzetu ebu tujivunie vya kwetu tofauti zetu tuweke pembení.
Hakuna mtu asiyejua awa vijana maisha waliyotoka mpaka kufikia hapo kwa hiyo tusiwakatishe tamaa tuzidi kuwa nao...
WAPENDA HAKI HATUTAMCHAGUA DIAMOND PLATNUM
Na, Robert Heriel
Katika Tuzo za BET Diamond ni moja ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo.
Wapenda haki, wanaharakati na Wana mtandao wote kuanzia Facebook, Instagram, JamiiForums, na Twitter Kama tulivyokubaliana hatutampa Kura Diamond Platnum na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.