Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!!
Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii.
Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko kipaji.
Hutumii nguvu, yani effortlessly. Hutoki jasho kbs.
Mwangalie Messi, mwangalie Kiba...
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.
jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama...
Msanii Diamond Platnumz aliweka wazi kuwa alianza kushabikia mpira na kuishabikia timu ya Simba mara baada ya kupata hamasa kutoka kwa swahiba wake Haji Manara.
Kama hiyo haitoshi ,Diamond alilaani sana kipindi ambacho mabosi wa Simba walipoanza kumtolea maneno machafu Haji Manara na...
Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power .
Magufuli baba Lao.
Makonda baba Lao .
Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine majaliwa yake anajua Mungu.
Funzo tukanyage kwa adabu ardhi ya Mungu.
Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify
1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M
2. Rayvanny – The Sound From Africa (2021) 24M
3. Navy Kenzo – Story Of The African Mob (2020) 3M
4. Mbosso – Definition Of Love (2021)...
Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.
Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.
Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level nyingine wanapoachia muziki wanajua target yao. Watu mkaiponda sana album ya Ray kwa sababu hamjui...
Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia.
Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music...
Msanii Zuchu ametoa wimbo wake wa sukari akiwa yeye peke yake na ndani ya miezi sita una views milioni 47.9, huku sikomi Diamond ina views mil 51 miaka mitatu, Sasa hizi ndio nyimbo zenye views wengi kwa wasanii bila assist/featuring, kwa hiyo Zuchu anaenda weka record ambayo sidhani Kama Kuna...
Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa imefikia hatua kaacha ku promote kwa malipo maana kwa sasa anafaidi mavuno ya mashabiki wapya aliowapata...
Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli?
Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto...
Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes karibu 30 mule, kuanzia wanafunzi darasani, magodoro, club, wadada wawili, masela wawili, mavazi...
Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB.
Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei...
Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini...
Baada ya kelele nyingi mitandaoni zinazodai chuma kipya cha Daiaond ni feki, nikaamua kuingia mtandaoniili ili nicheki facts maana watalamu wanasema "No research, no data, no right to speak",,,,bila uchunguzi usio na taarifa huna haja ya kufungua mdomo.
Muda sio mrefu nimeingia kwenye account...
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh...
UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA
Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie.
Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.