Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz.
Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine kutokana na biii yake.
Ni msanii ambaye ana uhusiano mwema na wa karibu na...
Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani.
Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge.
Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani...
Kwanza nimpongeze kwa jitihada anazofanya kwani zimekuwa motisha kwa vijana wengi ambao wanapenda sana umaarufu wake kuliko jitihada alizoonesha na harakati ngumu alizopitia.
Niwakumbushe vijana mpaka anafika pale bwana Almasi haikuwa kazi nyepesi, na kama mlivyo sikia kwa mahojiano...
Msanii namba moja Tanzania Diamond Platnumz anaendelea kumkimbiza msanii namba mbili Tanzania Rayvanny.
Licha ya Diamond kutoachia wimbo hivi karibuni, bado anaendelea kumpa wakati mgumu mpinzani wake halisia kimuziki Rayvanny.
Pia tunaona anajitokeza mara zote kwenye charts msanii chipukizi...
Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize.
Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ashiriki kikao na Harmonize wazungumzie tofauti zao na...
kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair
Sote tunajua ya kwamba kuanzisha biashara kubwa ni gharama kubwa na ni hatari endapo ukila za uso, unaweza kuanzisha biashara mbili...
Zari amefichua miongoni mwa sababu zilizomfanya kumwacha staa wa bongo Diamond Platnumz ni kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu mfululizo.
Anasema wasichana walikuwa wengi na katika baadhi ya matukio, kulikuwa na mimba zinazohusika.
Akizungumza wakati wa mahojiano ya wazi na Toke Makinwa, Zari...
Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.
Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.
Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa...
Mwaka juzi diamond akiohojiwa alisema kwamba anawazo la kuanzisha kampuni ya kubet lakini watu wengi walimcheka na wengine kumdhihaki kwamba hana huo uwezo leo hii rasmi ameitambulisha kampuni hiyo na kuipa Jina la WASAFI BET.
Mama Dangote ambaye ni mama ya staa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na mume wake Rally Jones almaarufu kama Uncle Shamte wamepuuzilia mbali madai kuwa ndoa yao imesambaratika.
Walipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi Media, wawili hao waliweka wazi kuwa wangali pamoja na hamna msukosuko wowote...
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
Katika kusherehekea birthday yake msanii davido katoa challenge kwa wasanii na makampuni mbalimbali aliowasaidia ku push nyimbo na brand zao kuwa maarufu Nigeria na Africa, akiwataja kwa majina kupitia Instagram story yake akiwemo msanii Diamond Platnumz na msanii Focalist.
Wasanii mbalimbali...
Mwanasoshalati na mwanamuziki kutoka Tanzania Irene Louis almaarufu kama Official Lyn amefunguka kuhusu mahusiano yake na nyota wa bongo Diamond Platnumz.
Alipokuwa kwenye mahojiano na Wasafi Media siku ya Jumatatu, Lyn alisema mahusiano yake na Diamond yalidumu kwa kipindi cha mwaka mmoja...
Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa anatumia mihadarati.
Wadau je kuna ukweli wowote kukonda kwa Dimond ni kwa ajli ya ubwiaji?
Wakati Tanzania inaadhimisha uhuru wa Tanganyika unaotimiza miaka 60 9 Disemba, 2021, kumekuwa na kupooza kiasi kwamba mitaani, viwanjani na kwenye majukwaa hakuna dalili za kuashiria shamrashamra za muendelezo wa maadhimisho hayo yanayofikia umri mkubwa wa zaidi ya nusu karne. Hii ni bahati...
Huu Ndio Utajiri wa Msanii Diamond Platnumz
by Frumence M Kyauke.
Nasibu Abdul Juma Issack, almaarufu Diamond Platnumz, ni msanii Afrika mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji vilevile ni msanii tajiri zaidi.
Umaarufu wake umeanza kuonekana mwaka 2010 baada ya kuachia albamu kwa jina Kamwambie...
Msanii MalkiaKaren ambaye ni mtoto wa mtangazaji nguli hapa Tanzania, Gadner G Habash ana ujauzito mkubwa tuu ambao hata ukisikia kajifungua kesho wala usishangae. Mwenye mzigo inasemekana ni mnyama bin laden simba.
Wadau wa kufukunyua hebu mje hapa, tupeni undani wa hii tetesi.
NYERERE DAY KUTOKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO 1953 HADI UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE 1985
Julius Kambarage Nyerere aliunyanyua mguu wake kuanza safari ya uongozi wa Tanganyika tarehe 17 April 1953 katika uchaguzi wa kugombea urais TAA.
Julius Nyerere sasa akijulikana kama Baba wa Taifa aliliaga taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.