Wanabodi,
Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.
Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali,
Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
Naam,hayawi hayawi yaweza kuwa.
Katika suala la mshikamano katika jambo Fulani basi tofauti huwekwa pembeni na kuungana pamoja kutekeleza Hilo jambo kilolo mbele yenu.
Tangu taarifa za kuumwa kwa legend P Jay zitoke nimeshuhudia maelfu ya watu wameguswa mno na taarifa hizo mpaka kufikia hatua...
Orodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika;
1. Diamond Platnumz – 1,665,769,709
2. Millard Ayo – 1,418,005,282
3. Global TV Online – 1,122,433,417
4. Rayvanny – 694,793,379
5. Harmonize – 683,915,867
6. Wasafi Media –...
Mambo vipi wanajamvi?
Nimewaza Mara kadhaa kuhusu bidhaa zinazoletwa sokoni na Bwana Chibu Dangote kwa nini hazidumu katika soko?
Chibu ni kijana mpambanaji mwenye uchu wa mafanikio makubwa na amethubutu kuwekeza ndani na nje ya Muziki wake, ametoa ajira kwa vijana kadhaa. Lakini swali moja...
Mtunzi na mwimbaji mashuhur wa nyimbo za taarabu kutoka Zanzibar Khadija Omar Kopa amepasua mbarika kuhusu uhusiano wa bintiye Zuhura Othman Soud almaarufu kama Zuchu na bosi wa WCB Diamond Platnumz.
Hii ni kufuatia uvumi unaoenezwa kuwa nyota hao wawili wa Bongo wanachumbiana baada yao...
Hivi Diamond akiwa peke yake sebuleni akasikia ngoma kali ya mwaka huu "UTU" ya King Kiba ikipigwa kwenye home theatre kali za sony anajikiaje, ni anapitia kwenye wakati gani maana lile jiwe ni shida.
King Kiba kajua kumpiga domo na kitu kizito kichwani kwa kwl 🤣🤣🤣🤣.
Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali.
Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila analogusa linaangukia pua skendo zake, kiki, na vitu vingi vya kimaendeleo hiviwi kama ilivokuwa mwanzo...
Wasafi bet, ni Kampuni Iliyoundwa kwa makubaliano(Partnership)baina ya kampuni ya kubeti ya nchini Kenya inayoitwa Odibet,
Mliliki Wa Odibets ni Jimmy Kibaki (Mtoto Wa Raisi Wa Zamani Wa Kenya Mwai Kibaki) Hapa Ndipo Tunapojua Kuwa Kumiliki na Kuendesha Michezo hii Inahitaji Pesa Nyingi Sana ...
Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani,
Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa.
Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
Mashabiki wengi wa Diamond Platnumz aka Simba watakua sasa wanajiuliza kimetokea nini kwa msanii wao pendwa kutoa ngoma za hadhi isiyotegemewa kutoka kwake.
Hasahasa mwaka huu tukianzia nyimbo ya Kamata, Gimmie na hii sasahivi ya Unachezaje ndo kabisaa haiendan na hadhi ya msanii tunayemjua na...
Mwanamuziki nguli anayetamba duniani kwa kazi zake na ukwasi mkubwa Naseeb Abdul Juma Issack almaarufu kama Diamond Platnumz anastahili kupewa tuzo ya heshima ya udaktari wa falsafa na vyuo maarufu duniani kwa jinsi ya mchango wake kwa mtu mmoja mmoja, jamii kwa upana wake, taifa/serikali...
Usiku wa tarehe 10 December wadau mbalimbali wa burudani na michezo waliweza kushuhudia uzinduzi kabambe kwa WASAFIBET.
Katika uzinduzi huo C.E.O na boss wa wasafi media alionekana akiwasili ukumbini ndani ya gari yake ya kifahari kabisa RR ikiwa na bila namba ya utambulisho maalum.
Bado...
Mwigizaji maarufu Bongo Hamisa Mobetto amepuuzilia mbali madai kwamba amekuwa akionekana sana na watu mashuhuri duniani kwa sababu anajaribu kumkomoa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz.
Akiwa kwenye mahojiano na wanahabari, Mobetto aliweka wazi kwamba kwa kawaida yeye huwa hana matatizo...
Huyu bwana wa kuiga iga hakimpiti kitu 😂 ati na yeye ameamua kudunduliza vindevu vyake ili awe kama Rick Ross ( rich forever). Basi kwa vile anafuga vindevu mda si mrefu ataanza kujitangaza amekua tajiri zaidi ya Bill Gates 👀
Picha ya chini ni Diamond Platnumz akiwa na muonekano mpya wa kirich...
Black Diamond Apples from Tibet
The Black Diamond apple is a rare breed from the family of Huaniu apples that is cultivated in the Tibetan region of Nyingchi. Despite what the name suggests, the apple rather is a purple hue, with white pulp on the inside. Its unique color is due to the...
Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amesisitiza kwamba mwanamuziki anayewakilisha ndiye kigogo wa muziki nchini Tanzania.
Akiwa kwenye mahojiano ya hivi majuzi na Mbengo TV, Fella ambaye pia ni mwanasiasa alisema kwa sasa hakuna mwanamuziki anayestahiki kulinganishwa na Diamond Platnumz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.