diamond

  1. Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

    “Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine.” “Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza,” Diamond. Pia soma; TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz kwa TRA
  2. Diamond aweka historia ya kuwa mtanzania wa kwanza kulipwa pesa nyingi kwenye usiku mmoja hapa Tanzania

    Usiku wa tarehe 31 December, 2022 history inaenda kuandikwa. Kijana kutoka mitaa ya Tandale, Diamond Platnumz aka Simba anaenda kuandika rekodi mpya kwenye ardhi ya Tanzania. Kwa mkataba wa kufanya show ya saa nne juu ya stage pale Ramada. Diamond atalipwa Tshs Million 300. Hajawai tokea...
  3. Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

    Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
  4. Sallam SK aweka wazi taarifa za kutofautiana na Diamond Platnumz

    Mfanyabiashara na Meneja wa Masuala ya Sanaa nchini, Sallam SK Mendez, amefunguka kuhusu taarifa za mtandaoni zinazodai kuwa ameiacha Lebo ya Wasafi Record ya Diamond Platnumz (WCB) kujiunga lebo ya Harmonize KondeGang Records Worldwide. Kwa maneno yake, "hilo halitatokea kamwe". Kwa takriban...
  5. Faini ya Tsh. Bilioni 1 dhidi ya Mgodi wa Williamson Diamond yazua mjadala kwa wadau wa Madini

    Inawezekana kabisa Baraza la Kitaifa la Usimamizi wa Mazingira (Nemc) lina sababu za msingi sana za kuipiga faini ya Tsh. Bilioni 1 (kama dola 434,782.6 kampuni ya Williamson Diamond Limited (WDL), lakini wanamazingira wameonesha wasiwasi kuhusu uamuzi huo. Clay Mwaifwani, mratibu wa mradi...
  6. N

    Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
  7. Mavokali akichanga karata zake vizuri atakuwa msanii 'A-list' wa Afrika, amebakiza baraka za Diamond tu atoboe

    Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara. Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma yake inaitwa Komando imekuwa maarufu sana nchi za wazungu. Hakuna ujanja wowote aliyofanya bali ni...
  8. Pongezi kwa Diamond Anayejijua kimziki kashuka na kuhamisha juhudi zake aje kuwa mfanya biashara mkubwa bilionea

    Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea. Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
  9. Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

    Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua. Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa...
  10. Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

    Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa...
  11. Diamond na Mbosso washindana mauno, nani zaidi?

    Hapa kati ya hawa watoto nani anaweza kuyarudi? Waswahili wanasema kusasambua, kuyanengua, kuyamwaga mauno?
  12. Diamond atoa maji kwenye swimming pools zake zote

    Diamond platnumz ametoa maji ( drain) swimming pools zake zote wanapoishi wanae. Mind kadai sababu kubwa ya kufanya hivyo Ni kuongeza usalama kwa wanae. Amewaandikia barua watumishi wake wote wanaohudumia nyumba hizo.
  13. B

    Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

    Diamond launches own airline Video: courtesy of SimuliziNaSauti N.B Jambo la kufariji mtanzania kuanzisha shirika la ndege. Ni matumaini mamlaka husika zitaweka mazingira mazuri shirika hili liweze kufanya biashara, kutoa ajira na kulipa kodi . Pia wawekezaji wa kiTanzania wanaothubutu...
  14. Kwenye suala la mahusiano muda mwingine Diamond yupo sahihi

    Ukiwa na hela, hapa naongelea utajiri na hukuwa na mwanamke kabla ni bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya Diamond na ukaendelea kuishi peke yako sababu utapendewa pesa na wanawake. Mwanamke akipata uhakika wa pesa kutoka kwako, atatafuta mwanaume moyo wake unayempenda, hapo ndiyo usaliti...
  15. Watoto wa "Single mama" jifunzeni kwa Diamond Platinumz kuishi na baba zenu wa kambo

    Ndiyo, nawakumbusha tu. Kila siku utasikia Anko Shamte piga YOPE! Anko Shamte! Ankali wa Taifa! Yaani hadi unatamani kabisa kuoa single mama. Hii si kwa bahati mbaya, kijana anamkubali baba’ke wa kambo. Na hii ndiyo furaha na tulizo la mama’ke. Sasa kuna hawa wengine, kuna muda hata salamu tu...
  16. Kwanini Diamond Platnumz hakulipa fadhila kwa Bob Junior/Sharobaro Record (Wasafi)?

    Salaam wakuu Tuongee ukweli, Nasib analalamika eti wakina Konde Boy hawana fadhila kisa kujitoa kwenye lebo yake. Je, yeye alipojitoa kwa Bob Junior akaondoka na jina lake, alilipa nini? Nimemsikiliza sana Raheem Kibega. Ana hoja, Bob Junior(Raheem) mmiliki wa Sharobaro Records Wasafi, ilizaa...
  17. Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

    Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa. Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz. Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu...
  18. Diamond na baba Levo kweli wametoka mbali si kwa mavazi haya

    🤣🤣🤣🤣🤣Sitii neno lolote hapa
  19. Kusah: Diamond sio msanii / Ruby ana mabwana wengi / ep yangu imetumia milioni 10

    Baada ya kuachia EP yake Kusa kasema haya
  20. P

    Kama una gari hizi Prado 95 au Prado 120 (diamond) pitia hapa upate moja mbili, ikuingizie kipato

    Kuna Watu Mmejaaliwa vipandwa na miongoni mwa vipandwa hivyo ni aina ya hizi gari PRADO 95 (MCHAGA),PRADO 120 (DIAMOND) Hizi gari zinaweza kukusaidia kuingiza kipato kwa kukodisha kwa watu binafsi au Makampuni Mie ni Dereva wa tours kwa miaka kadhaa sasa na utafiti Wangu nilioufanya ni kua Gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…