Wakuu, kwema?
Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote.
Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
Mwanamziki aliyefanikiwa zaidi Tanzania, Diamond Platnum aka Simba ameweka wazi kuwa yeye na Zuchu ni dada na kaka na sio wapenzi kama wengi walivyokuwa wanafikiria au kujua.
Kupitia insta story ameshea ujumbe huo kwa mashabiki wake.
Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature.
Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia...
Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote.
Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha.
Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa nyimbo zake pekee. Kwa sababu wafuasi tunaona anaachia banzi juu ya banzi
Kwanza nimpongeze Abdul Naseeb kujiita Diamond Platinum. Unapojinenea baraka ni dhahiri utazipata na kinyume chake. Sasa yeye kujiita majina ya vitu vya thamani sana, vya kipekee na vyenye mvuto imemfanya naye awe hivyo ktk jamii.
Wapo waliojiita Dudubaya, Crazy GK, Masumbuko, Muhogo Mchungu...
Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni.
Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake.
Nilitazama interview moja anasema amelipwa dola za kimarekani 705(mia saba na tano) na kwamba anadai ni sawa milion kumi na saba...
Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.
Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px .
Tarehe 5 February 2023.
Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF sehemu ya pili itakuwa ni Facebook na mwisho kabisa nitamalizia Twitter.
...........................................................
Video imetoka juzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka...
- Longido moja hiyo....
- Halafu huyu mama nilijua atakufa... Badala yake mtoto ndio kachomwa knife...
- Kikao cha mirathi kijijini Engikaret Longido...
- Kuna wadau wanaponda eti haikutakiwa Tattoo zionekane...
- Bodaboda wa Longido, wamepauka vumbi hadi kwenye kope...
- Walevi...
Duh haya mashairi mazuri ya mwanamuziki Diamond kwenye wimbo yatapita yanatukumbusha msoto majeraha kipindi cha mwendazake aisee watu waliteseka balaa matajiri wakafirisiwa, watu waliuawa hovyoo na kutupwa baharini kama vifurushi, wasomi walikosa matumaini na elimu zao zilikosa thamani kabisa.
Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi.
Imagine Diamond anaigiza movie kama hii;
Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
- Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka
- Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo
- Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa
- Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi ukutani
- Sio tandu tu,hadi vyura..
- Kaamua kuwa mwizi, liwalo na liwe
- seti kali kuliko zote...
Mondi akiwa anaimba nyimbo za aina hii ya bongofleva anatisha sana.Nimependa Sana hii ngoma kuanzia uandishi mpaka melody yake ni Kali.Ujumbe wa hii ngoma unagusa watu wengi
Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans.
Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC.
Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye...
Kudos wanajamvi.
Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi.
Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwani TRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi ni Uzalendo.
Asante Sana Sugu kwa kuonesha...
TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana.
Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA?
Haihitaji kumiliki basi kujua ndivyo sivyo za LATRA, au kuwa na gari au kituo cha mafuta kujua...
Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul.
Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu.
Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria.
Quality ya performance haijawai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.