diaspora

A diaspora () is a scattered population whose origin lies in a separate geographic locale. In particular, the word diaspora is used to refer to the involuntary mass dispersion of a population from its indigenous territories, most notably the Jews who were dispersed from the Land of Israel in antiquity (known as the Jewish diaspora). Some other diasporas are the African transatlantic slave trade, the southern Chinese or Indians during the coolie trade, the Irish during and after the Irish Famine, the Romani from India, the Italian diaspora, the exile and deportation of Circassians, the flight or expulsion of Arabs from Palestine, fleeing of Greeks after the fall of Constantinople, Expulsion of the Acadians, and the emigration of Anglo-Saxon warriors and their families after the Norman Conquest of England.Recently, scholars have distinguished between different kinds of diaspora, based on its causes such as imperialism, trade or labor migrations, or by the kind of social coherence within the diaspora community and its ties to the ancestral lands. Some diaspora communities maintain strong political ties with their homeland. Other qualities that may be typical of many diasporas are thoughts of return, relationships with other communities in the diaspora, and lack of full integration into the host countries. Diasporas often maintain ties to the country of their historical affiliation and influence the policies of the country where they are located.
In 2019, according to data released by United Nations with 17.5 million Indian diaspora is world's largest diaspora, followed by 11.8 million Mexican diaspora and 10.7 million of Chinese diaspora.

View More On Wikipedia.org
  1. Diaspora na deni la Taifa

    DIASPORA NA DENI LA TAIFA Hakuna takwimu kamili, lakini inaaminika watanzania tuliopo ughaibuni tunafika milioni mbili. Aidha wengi tunaoishi ughaibuni, tunajua nchi yetu ina deni la nje na la ndani japo wengi hawajui kiuhakika ni kiasi gani. Leo ningependa kuja na ushauri ambao kwa wale...
  2. Zifahamu sera za kudumu za CHADEMA za mambo ya nchi za nje zinazowagusa Diaspora

    Kwa uchache hapa nitaweka baadhi ya sera za kudumu za CHADEMA ambazo zinawagusa Diaspora moja kwa moja. Sera hizi zimekuwepo wakati wote toka CHADEMA ishike kasi hapa Tanzania na zilikuwa sehemu ya ilani ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2005, 2010, 2015 na 2020. 1. URAIA PACHA Chadema itaruhusu...
  3. Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  4. Afghanstani viongozi wengi wana uraia pacha na wanaiharibu nchi hiyo. Diaspora wengi wenye pasi mbili hawana upendo wa dhati/ uzalendo na nchi zao

    Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye pasi mbili za kisafiria. Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wapatao 3000 huku Uingereza ikituma...
  5. Wanaccm (Diaspora) walaani kauli za Antony Diallo

    Matamko dhidi ya mwenyekiti wa CCM Mwanza kuhusu kauli zake zilizomdhalilisha Hayati Magufuli zimeendelea kutolewa. Wana Diaspora wanetoa tamko.
  6. B

    Diaspora Vijana Watanzania wamlilia Rais Samia uraia pacha

    Vijana wa kiTanzania walilia uraia pacha kutokana na changamoto wazipatazo huku wao wakiwa wamwzaliwa mfano raia wa Marekani ya Kaskazini na Ulaya wakati wazazi wao, bibi, babu, shangazi ni waTanzania lakini sheria za uraia za Tanzania haziwatambui na hivyo kupata wakati ngumu katika mambo...
  7. Diaspora na fursa za kiuchumi

    Wakuu nawasalimu, Leo nimejikuta nawaza sana fursa walizonazo watanzania waishio nje ya nchi na namna ya kutatua changamoto za ajira kwa vijana Kwanza naomba niwaalike watanzania wanoishi nje ya nchi kutufungua mawazo na kutupa uzoefu wa fursa mbalimbali zinazopatikana maeneo wanayoishi Fursa...
  8. S

    Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

    Balozi Malamula hivi karibuni ametoa kauli kwamba serikali inaandaa sera ili Tanzania inufaike na Diaspora. Mimi nadhani huku ni kupotezeana muda tu. Nilishalisema sana jambo la Diaspora humu ndani. Nilishaziponda sana point za Watanzania ambao wanadai kuwa tusiruhusu uraia pacha kwa kuwa watu...
  9. L

    Kwanini Diaspora wengi hawana watoto?

    Nimelichunguza hili kwa baadhi ya marafiki, ndugu na baadhi ya watu. Wengi walioishi nje ya nchi miaka kadhaa wanarudi hawana hata copy ya nchi waliyotoka. Yuko jamaa anaishi Urusi aliondoka mimi nikiwa darasa la 6 mwaka 2001 hadi leo hii jamaa huko hana mtoto wala mke. Mfano mwengine ni...
  10. Ushauri wa bure kwa diaspora wenzangu na wale wanaokwenda kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Habari zenu wakuu, Ama baada ya salam napenda nijikite kwenye mada ili nisiwachoshe wasomaji. Ndugu zangu unapokuwa nje ya nchi kwa lengo fulani la kutafuta maisha, ili ufanikiwe unatakiwa ufanye haya ninayoyataja hapa chini, lkn pia kama kuna mengine ambayo sikuyaandika hapa ktk list yang basi...
  11. Relationship Manager: Diaspora at NMB Bank

    Job Purpose: To be liaison between diaspora clients and the bank to ensure growth of this segment and entire business value chain with the aim of maximizing the Bank’s revenue through understanding of customer’s needs. Main Responsibilities To sell, develop business and ensure that there is...
  12. Wakenya 300 walio nje ya nchi (diaspora) waungana na kuwekeza kwenye ujenzi wa majengo ya kifahari

    Yaani hii ni zaidi ya akili kubwa, hongereni sana ndugu zetu, tuijenge hii nchi yetu kwa pamoja maana ndio nyumbani kwetu, mkiwa huko mnafanya makubwa sana nyumbani. ======== A group of at least 300 Kenyans currently living in the United States of America has teamed up to embark on a...
  13. Kenyans in the diaspora sent back home remittance worth $ 3 billion in 2020

    Wakenya wanaoishi nje ya nchi wametuma nyumbani pesa kiasi cha dola bilioni tatu katika mwaka wa 2020. Hii idadi ni kubwa kushinda idadi ya pesa waliyotuma katika mwaka wa 2019. Kinachoshangaza ni kuwa mwaka wa 2020 uliathiriwa vibaya sana na corona virus lakini licha ya hayo bado Wakenya...
  14. K

    #COVID19 Watalii na diaspora wanaleta Covid-19 Tanzania

    Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona. Airport wanapima joto lakini...
  15. C

    Sheria inasemaje kuhusu umiliki ardhi kwa diaspora wenye wanandoa ambao ni raia?

    Habari zenu wakuu Naomba kufahamu kama kuna kipengele chcohote kwenye sheria za ardhi ambacho kinaruhusu diaspora aliyeukana uraia kuendelea kumiliki ardhi ya Tanzania iwapo diaspora huyo ana mwanandoa ambaye ni raia wa Tanzania. Nashukuru kwa ufafanuzi wenu
  16. Diaspora changeni pesa mfanye kitu kikubwa nyumbani

    Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall. Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi. Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua...
  17. Ushauri wa muuza madafu kwa Watanzania wa Diaspora: Msiendelee kujiharibia, muwaige diaspora ya Wayahudi

    Leo jioni baada ya hekaheka za ziara ya viongozi wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, nikaamua kupita kwenye kijwe kimoja maarufu hapa Kijitoupele. Naikumbuka sehemu hii niliwahi kusikiliza hotuba ya komandoo mzee wetu Salmini Amour katika moja ya mikutano yake akiwa raisi alipoamua kuchekesha...
  18. Ni aibu sana mpaka leo Diaspora wanashindwa kupiga kura Bongo

    Wanabodi, Najiuliza sana, hivi mpaka leo pamoja na maendeleo yote ya teknolojia na sayansi yake, ni kweli tumeshindwa kuja na namna ya kuwawezesha Watanzania wanaoishi nje ya mipaka yetu kupiga kura kuchagua viongozi kama haki yao ya msingi japo ya urais? Kwamba na hili pia mpaka tulidai kama...
  19. Diaspora rudini nyumbani

    Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini. Wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia...
  20. Kwa serikali ya sasa ni Diaspora gani alitolewa nje kuja kusaidia nchi?

    Nakumbuka enzi za Kikwete na Mkapa watanzania wengi wenye taaluma mbalimbali waliokua wanafanyakazi nje ya nchi waliletwa kuja kusaidia kuleta maendeleo kwa ujuzi na uzoefu wao walioupata huko nje. Kwa mfano Mkapa alimleta Daudi Balali, Kikwete akamleta Ndulu, yule mama wa uwekezaji, mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…