Kutokana na wabongo wengi kutuonea wivu sisi waishi ulaya nimeona nifungue huu uzi ili nyie mlioko nchi za maziwa makuu mje humu mumtaje mwana ulaya mmoja mkimtaka atoe uthibitisho wa yeye kuwa mbele USA au Europe.
Nimegundua wabongo wengi mna wivu mtu akiwa mbele mnamchukia mtamfukunyua mpaka...
Bahati nzuri kazi yangu binafsi naweza kufanya nyumbani na ingawa nipo kwenye mambo ya Afya nafanya kama consultant na kusaidia Hospitali kwenye mikataba ya ununuzi. Kuna Watanzania wengi sana ambao wanafanya kazi za huduma za kiafya hawa wote wapo hatarini sana.
Vifaa hakuna vya kutosha maana...
Watu mnaoipenda chadema mlio nje hususan Marekani mnatakiwa kukisaidia chama kwa kufanya fundraising kukisaidia chama kulekea kwenye uchaguzi, nilizungumza na kiongozi mmoja alinipigia akiniomba nisaidie kufanya mobilization jukumu ambalo kwangu peke yangu naona ni gumu ndio maana nimelileta...
MDAU WA DIASPORA AJIBU MASWALI KUHUSU DARAJA LITALOJENGWA KUTOKA DAR HADI ZANZIBAR.
Leo 19:15pm,28/12/2019
Kutokana na Mgongangano wa mawazo ili Watanzania tufikie lengo kuu lenye kuleta tija,Mdau wa Diaspora amejibu maswali kiufasaha kuhusu ujenzi wa daraja kutoka Dar hadi Zanzibar ili wadau...
Rais wa Zanzibar Mh Dr Shein amesema kabla hajamaliza muhula wake wa uongozi atahakikisha sheria ya kuwatambua Wazanzibari (Watanzania wanaoishi nje ya nchi inakuwepo).
Pia Msemaji wa Zanzibar amesema mipango ya kujenga daraja la kuiunganisha Zanzibar na Tanzania bara imekamilika na taratibu za...
Wanabodi,
Kuna habari njema kwa Diaspora wetu, wale Diaspora ambao wako ughaibuni na hawajajilipua, watawekewa utaratibu kuwawezesha kupiga kura.
Hayo yamebainishwa leo Bungeni katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambao mbunge fulani za Zanzibar aliuliza ni lini wana...
FUNDRAISING APPEAL FOR MR. TUNDU LISSU
This is an appeal to help meet the medical expenses and living costs for Hon. Tundu Antiphas Lissu and his family.
A prominent opposition politician and member of the Tanzanian Parliament, The Chief Whip for Tanzania main opposition, and former...
Serikali | Tanzania, pamoja ya kuwa inafanya vyema, lakini much more have to be done. Inabidi, Serikali | Tanzania i re calibrate sera zake za nje. Pia serikali |Tanzania inapaswa kufanya kazi na wananchi wake kwa ujumla wao walio ndani na nje(Diaspora).
Tanzania ijitoe kwenye position ya...
Cash sent home by Kenyans abroad rose 39.54 percent in 12 months through October helped by increasing investment vehicles and a tax amnesty.
The inflows hit $2.61 billion (Sh267.75 billion) in the period compared with $1.87 billion (Sh191.88 billion) a year earlier, the Central Bank of Kenya...
Wanabodi,
Nimesoma mahali kuhusu mchango wa diaspora na influence yao kwenye siasa za nchi zao, hivyo najiuliza, je hawa wana diaspora wetu sisi Tanzania, waliotapakaa ulimwenguni kote, jee wana mchango wowote katika siasa za nchi yetu? Je, wana influence yoyote kutumia their exposure na the...
Ndugu wana diaspora,
Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?
Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.