diesel

  1. JoJiPoJi

    Tetesi: Treni iliyokuwa iondoke Dsm kuelekea Zambia imeshindwa kuanza safari sababu ya kutokuwa na diesel.

    Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
  2. Ushimen

    Air Compressed machine & diesel engine Technician

    Utapewa pakulala. Kazi ni masaa 12. Mshahara 600k. Chakula ya asubuhi mchana na jioni utapewa na kampuni. Utafanya kazi zingine zitakazo husiana na mechanical.
  3. Orketeemi

    Pendekeza bei ya petrol n diesel Kwa mwezi January

    Nchi hii ni yetu sote. Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi. Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani kunavyopandisha bei za Mafuta. Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,, Shilingi yetu inapanda thamani...
  4. Chura

    NAUZA MAFUTA YA DIESEL LITA ZAIDI YA MILIONI MOJA.

    Nauza diesel iliyothibithswa na yenye Vibali vya EWURA, nauza Lita 2600 tshs Sharti: Ili tufanye biashara lazima uwe unanunua kuanzia kuanzia Lita elfu 50 kuendelea Eneo: Dar-Es-Salaam Mawasiliano:0761419399
  5. Waufukweni

    Gerson Msigwa: Puuzeni, Serikali hatuna mpango wa kununua vichwa vya treni vya Dizeli

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amekanusha taarifa za kwamba Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapanga kununua injini zinazotumia umeme na diseli ili kuisaidia treni ya SGR umeme unapokatika safari zisikwame. Pia, Soma: Tanzania kununua injini za disel kuendesha SGR Akiongea usiku huu...
  6. Upekuzi101

    Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

    Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi...
  7. D

    Kinara wa nishati safi mbona unaturudisha kwenye diesel?

    Naona TRC wanataka kwenda kununua treni la diesel for emergency lakini me najiuliza kwani haliwezi kutumia gas? Diesel tunanunua nje ila gas tunazalisha hapa sasa kwanini tusitumie la gas ili dollar zibaki hapa hapa. Mbaya zaidi President wetu ndo kinara wa nishati safi Africa halafu eti nchi...
  8. S

    Habari Njema: TRC wanapanga kuweka injini za Diesel kuimarisha huduma

    Habari wanajamvi, Natumaini mmeamka salama na wenye afya tele. Ijumaa hii na iwe mbaraka kwako. Jumatano mbili zilizopita nilitoka dar-es-salaam kuja Moro. Sasa, siku kabla treni iliniacha. Nilichelewa kwa dakika mbili (treni ilipaswa kuondoka saa 10 kamili. Nlifika 9.57, nkakuta milango ya...
  9. M

    Wapi wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel na vyuma vya canopy

    Msaada waku naulizia wapi au makampuni Gani wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel navyuma vya nguzo za conopy na vifaa vyake oringina msaada wenu Dee pond ,agroprodct na wadaut wangine
  10. uran

    Uhaba wa Mafuta ya Petrol na Diesel Dar es Salaam Mchana huu Oktoba 16

    Wakuu mjini hakuna mafuta kabisa. Inakuwaje? Uhaba wa gafla bin vuu.
  11. Titicomb

    Dkt. BITEKO na EWURA, Zuio la kuwauzia mafuta wateja wenye dumu (gallon) linaleta maafa vijijini kwa wakulima wanaotumia mashine za diesel na petrol

    Kuna hali mbaya inaendelea huku vijijini baada ya sheria, kanuni au amri ya kukataza wananchi wanaoenda vituo vya kuuzia mafuta na dumu au galoni wasiuziwe mafuta. Hii sheria au amri haikuzingatia maisha halisi ya nchi masikini kama Tanzania. Kuna mashine za kusaga nafaka, kukamua mafuta...
  12. Y

    Usimamizi wa Diesel na Petrol kwenye miradi ya Serikari

    Kutokana na kupanda kwa bei na nauli za mabasi. Matumizi na usimamizi mubovu wa government project. Mafuta yanauzwa kwa kulanguliwa (lejaleja) na viongozi wanajuwa na wanaona from shina mpaka serikari kuu. Kama ni miladi inaazishwa kwa lengo wa wenye hakili wajiongeze tuabiane tu👋👋👋
  13. zyuho

    Nissan Xtrail diesel, manual transmition

    Ndugu waheshimiwa habari za majukumu kama sio shughuli za kila siku, Kama title hapo juu nimevutiwa sana na specification za extrail manual, maana nataka ku shift kutoka auto nipate gari yenye pulling na economy engene. Najua kuna watao sema nissan sio gari mara ugonjwa wa moyo ila kiufupi...
  14. J

    Toyota Landcruiser hardtop ya mwaka 2015 inauzwa

    👉2015 TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP 🚂ENGINE TYPE:-1HZ DIESEL 🦜BEI 140 MILLIONI 👉IMETEMBEA=80,000 KM 👉GARI ILINUNULIWA MPYAA ZERO KM 👉LOCATION:-DODOMA 👉TUWASILIANE 📞 +255622599002 DODOMA
  15. Jamii Opportunities

    Diesel Mechanic at Unitrans January, 2024

    Unitrans Tanzania Limited has the following exciting opportunity at Kilombero and Kilosa Districts, Morogoro Region where is subcontracted for various agricultural operations to the sugar industry. We are currently looking for a suitably qualified, and experienced individuals to fill in the...
  16. BARD AI

    Mwigizaji Vin Diesel afunguliwa kesi ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Mfanyakazi wake

    Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010. Mwanamke huyo amedai Septemba 2010 wakati wakirekodi vipande vya Filamu ya Fast Five aliitwa chumbani kwa Diesel akiwa peke...
  17. A

    DOKEZO Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi chochote

    Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu. Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama...
  18. M

    Ushauri wa kununua Volkswagen Golf ya diesel

    Nataka kununua Volkswagen Golf ya diesel (2.0 TDI GT DSG) ya mwaka 2007 ya Uingereza. Naombaeni ushauri kwa ambaye ana ujuzi wa gari hizi haswa kwenye upande wa maintanance na changamoto zake kama imezidi 120K miles. Je ni reliable na nnaweza nikawa nnasafiri nayo masafa marefu?
  19. T

    Mafuta ya Petrol na Diesel yameenza kuadimika tena nchini

    Wanajamvi Taharuki ya kuadimika kwa mafuta ya Petrol na Diesel imeanza tena kama ilivyo ada kila ukifika mwisho wa mwezi Leo tarehe 27.09.2023 Urambo Tabora Hali si shwari misururu ya madumu kweli sheli yameanza Inasiktikisha sana kuona wananchi wakiteseka namna hii na serikali tushindwa...
  20. Exile

    Kwa hali hii kama ni kweli tutegemee zaidi kupanda kwa diesel na petroli

Back
Top Bottom