Nilikuwa katika maktaba ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), maarufu kama Archbishop Mgulunde Learning Resource Center, mwanzoni mwa Novemba, nilipokutana na kitabu cha zamani kilichofichwa kimya kimya kwenye moja rafu ya maktaba: The Plot to Kill Hitler: Dietrich Bonhoeffer – Pastor...